CAPTION

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Hii picha ya masudi onatoa taswira gani ya uelekeo wa CCM?
IMG-20190721-WA0052.jpeg
 
Hapo ktk jembe na shoka inamaanisha vyuma vinagongana yaan chuma hufua chuma kawaida upinzan ukifa nje utahamia ndani yaan ukiwa na mke kicheche ukimlinda sana wahuni wakitaa wasigonge basi ataruka na ndugu zako wa ndan wakiume
 
Uko vizuri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom