Caption this photo of Ann and Mitt Romney

Caption this photo of Ann and Mitt Romney

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
189061_10151202111727346_1266074135_n.jpg
 
Kumbe Romney na mkewe wahuni! Heri wamarekani walimpiga chini maana angewatia aibu. Ana ukwetekwete fulani huyu jamaa ingawa amepiga shule kuliko huyo mwenye ukwete wenyewe.
 
Huyu angeingia IKULU mida hii Damascus ingekuwa inaangushiwa makombora kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom