Captain Tesha ameleta taharuki

wanajeshi watapinduaje nchi wakati hawachukizwi na yanayotokea nchini? Unaambiwa huyo capitaine tesha ni wa mchongo, ni kanjanja si mwanajeshi!
Nchi itapinduliwa hii kiongozi narudia tena.Achana na haya ya captain Tesha lakini kuwa nasubira.Naongea tena nchi hii itapinduliwa na hakuna wa kuzuia(muda na saa hakuna ajuaye).
 
wanajeshi watapinduaje nchi wakati hawachukizwi na yanayotokea nchini? Unaambiwa huyo capitaine tesha ni wa mchongo, ni kanjanja si mwanajeshi!
Nani amethibitisha kuwa Tesha sio mwanajeshi?
 
Wavaa majani bwana hamnaga hoja za msingi zaidi ya kulopokalopoka tu, kwahiyo unataka tusiheshimu katiba tuheshimu makalio yenu?.
 
Samia ataondolewa kama walivyo ondolewa wajomba zake kule zanzibar...mwisho wake utakuwa mbaya sana.
 
Kifupi sion akimaliza hii miaka mitano, sawa kura wataiba, ila hatoboi
 
Kiongozi naomba nikurekebishe kidogo, hasemi katiba ni kitabu ila ni kijitabu
 
Watu wanaweza endelea kubeza na kumuona kikwete na genge lake kama wajanja sana kama wanavyojiita born town. Ila wakae wakijua kuwa hakuna mjanja asiye na wajanja juu yake. Akumbuke tu hata alipokua rais pale Jw kuna watu still walikua wana uwezo wa kumpinga alipokua akileta sera zake zisizo na msingi. Sasa ajue watu wanamuangalia tu na kuna siku atalia kwa hii tabia ya kuona kama kila mtu anam mudu
 
Yani Samia na watoto wake wote akili kisoda, Yan Wanu anatoa ahadi ya kununua mashine ya kuchimba makaburi kweli!?

Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza kuendelea kufagilia kuongozwa na familia ya vichaa kama Ile.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Lini Tena hii mkuu?
 
Mafisadi watalia na kusaga meno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…