The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 820
- 2,070
Asante sana tushapoaWaqt kama haujafika kitatokea cha kutokea lakini Waqt ukifika unakuwa umefika.Pongezi kwa pilot na manusura wote walio okoka na kadhia hiyo
inaitwaje mzeePia hata movie yake nafikiri ipo
So do Iinaitwaje mzee
Mimi napenda sana MOVIE BASED ON TRUE STORY
Mbna nimeseach IMDB hakuna MOVIE ya jina hilo achilia mbali kuwa na maudhui km ya hicho kisaSo do I
Inaitwa SULLY,Mbna nimeseach IMDB hakuna MOVIE ya jina hilo achilia mbali kuwa na maudhui km ya hicho kisa