donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #61
Hahahah, enjoy mama!!don napasuka mie kwa cheko !hahahahaah mama weee!aisee
Umeona eeeh? Yaan kama unaingia kwenye kibanda cha kitubio
Hahhaa yani Don aweke balimi mezani kwake?haya shem !mie najua mashemeji huwa tunapewa ofa sana thts y nakazania nibase kwenye ushemeji !siku naibuka dar walah BALIMI KUBWA ZITANIKOMAAAAAAAAAAAAA!
Mbiti mchukue huyo ndugu yako khaahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ukiwa shemeji yangu, first rule you need to learn to be classic. Sasa unapotaja balimi tena kwa herufi kubwa unaniabisha kwa baadhi ya watu tunaofahamiana nao hapa. Wataanza hoji don nawe umekua mteja wa balimi? Bas angalau windhoek au Heineken kidogo ili usinitie aibuhaya shem !mie najua mashemeji huwa tunapewa ofa sana thts y nakazania nibase kwenye ushemeji !siku naibuka dar walah BALIMI KUBWA ZITANIKOMAAAAAAAAAAAAA!
Mbiti mchukue huyo ndugu yako khaa
Kwelk Ushamba ni mzigoNianze tu kula hayo makorokoro!!
Hhahaha ndo ulikuwa mtundu hivyo?nina cheka mno jaman !i rem na mie age hizo nilikua na rafiki angu tunatabia za tambo kama hizo !hahaha aise tukienda bar tunamwambia meneja wa bar atupe ulinzi, na tunamkabidhi mikoba ! mhudumu akija kuchukua pesa tunaita hivi "mlinziiiii kuja hapa kutulinda !khaa !hahahaha dah was soo funny ! mkiingia kwenye daladala mnamuuliza konda had nauli wanalipaje !hahaha ova tumetoka abroad !dah ujana maji ya moto aisee
Ukiwa shemeji yangu, first rule you need to learn to be classic. Sasa unapotaja balimi tena kwa herufi kubwa unaniabisha kwa baadhi ya watu tunaofahamiana nao hapa. Wataanza hoji don nawe umekua mteja wa balimi? Bas angalau windhoek au Heineken kidogo ili usinitie aibu
Hhahaha ndo ulikuwa mtundu hivyo?
Sasa mkuu, mbona umechelewa maisha?? Sija reach thirty something tayari I own three houses ambazo ninazirent (apart) from the one, am living in. Ndio maana sometimes nashinda naangalia cooking tutorials youtube najifunza kupikaDon unaniua mie hku jaman !khaaa!inauma sana jaman !haya maisha haya !
Hhahaha ndo ulikuwa mtundu hivyo?
Thank you for noticing such an insultHahhaa yani Don aweke balimi mezani kwake?
Mkishaitwa wanafunzi, hata muwe wazee fujo hazikosekanagihahha acha tu mamy ! ila had leo tukikutana tunaazishaga hzo ! yaan huwa nashindwa jikaza jaman ! kumbe ukitufuatilia yelewiii ni wanafunzi wa chuo! pyee!
So its a history? Where did ur life go? Aisee, I'm guaranteed kuishi hivi even three lifetimes. Maana hapa nala vyangu n yet am the lastborn n the only male in family which makes me heir to the throne of prof........nina cheka mno jaman !i rem na mie age hizo nilikua na rafiki angu tunatabia za tambo kama hizo !hahaha aise tukienda bar tunamwambia meneja wa bar atupe ulinzi, na tunamkabidhi mikoba ! mhudumu akija kuchukua pesa tunaita hivi "mlinziiiii kuja hapa kutulinda !khaa !hahahaha dah was soo funny ! mkiingia kwenye daladala mnamuuliza konda had nauli wanalipaje !hahaha ova tumetoka abroad !dah ujana maji ya moto aisee
Aisee usitaje basi hiyo local brew, kwanza is it tbs approved?ahahha nannimejua sana kutaja balimi ninkukuabishia !hehehe !aic mbn classic! yeah nitaanza jifunza wondhoek na heinken ! zikichanganyia namix na balimi bana !hahahahahhhaha
Mkuu umekula sana maisha, surrey estate unapapata?Umenikumbusha mitaa yangu ya zamani nikiwa Baharia: Mitchell's Plain, Belliville, Athlone, Surrey Estate, Mowbrey......! Shopping Elite Supermarket! Daaah, Maisha ya ubaharia yalikuwa na raha zake!
Sio ushamba mkuu. Ni machaguo tu. Kama ambavyo Iringa wanakula mbwa lkn sehemu zingine hawali. Akiri yako ndogo sana.Kwelk Ushamba ni mzigo
Aisee usitaje basi hiyo local brew, kwanza is it tbs approved?