Cape town fish market...!!!

Asee hyo kitu ni hatar,had nahisi njaa kwakwel
 
Kwa vimsosi hivyo, nilishawahi kuunguza laki na mtt mmoja wa uswahilini... Mwana we acha tu... Yani hako kasahani kamoja si chini ya elfu arobaini! Siku hizi huwa naenda Bagamoyo kula prawans na ngisi kwa bei isiyozidi buku tano tu!
 
Hahaha pamoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…