Can't a brotha just be cool with a mama??

Can't a brotha just be cool with a mama??

What if huyo dada akianza date someone else?
someone you know...utaweza kuvumilia?

Unaweza usimtamani mwanamke but ukisikia Ngabu anakula...
na wewe mko just friends....unaanza kuwa uncomfortable
au huyo mwanamke ahamie moja kwa moja kwa mtu mwingine
hata urafiki tu humpati.......
 
They sometimes say "you can't realise that you like someone until you observe him/her liking somebody else'
 
They sometimes say "you can't realise that you like someone until him/her liking somebody else'

exactly....
na mwanamke akiwa in love na wewe hawezi kuwa free
huwezi kuona her wild side....hadi muanze sex...ndo utagundua ahh kuumbe
 
Kuna binti tunafanya kazi industry moja, so wakati mwingine huwa tunafanya kazi pamoja. Nimetokea ku-connect sana na huyu manzi, toka siku ya kwanza. Na tunaelewana kinoma, na mambo yananoga zaidi cuz anajua kiswahili kiasi chake. Rafiki na tunaofanya nao kazi kwa karibu wanajua uhusiano wetu, ila tatizo ni wanalazimisha kuwa kuna zaidi au kulitakiwa kuwa na zaidi. Hii ni kwa rafiki wa pande zote.

Washkaji zangu ndio wamezidi. Hawa jamaa tunaweza plan kutoka, na watalazimisha nimualike huyo bibie, sio tatizo. Shida ni pale usiku ukishakolea, watatafuta mbinu za kuchochea kitu baina yetu. Ukweli ni kuwa binti kaumbika kinoma, perfectly shaped body, thick and curved in all the right places, exactly how I like them; ila tu nimeshindwa kabisa kabisa kuwa hisia za kingono/kimapenzi juu yake, kabisa. She's that babe I truly believe I could share a bed with, and behave with ease, all day every day.

I have tried explaining it to the clique, but they're not having none of it. Every time after a night out and what not, I get "debriefed" and put on the spot with the same ol' bs. To them, a brotha can't be cool with a mama without smashing it. They're bugging that if I don't hit it, the mama might get some funny ideas about me or probably get offended. And I always reply with that "are y'all done or are y'all finished" look.

Fellow brothas, some of you get where I'm coming from, right?
to be cool....!!?? mh itdepends but man, its like walking with a sugarcane as a stick any time you might peel it and suck the juice in it....
 
tena mi naanzia mbali sitongozi naanza matani makuchi kuchi hotahe mara hiki yani just romantic....
 
What if huyo dada akianza date someone else?
someone you know...utaweza kuvumilia?

Unaweza usimtamani mwanamke but ukisikia Ngabu anakula...
na wewe mko just friends....unaanza kuwa uncomfortable
au huyo mwanamke ahamie moja kwa moja kwa mtu mwingine
hata urafiki tu humpati.......

Tbhh, I think I'd be cool with it.
 
[QUOTE="Ukweli ni kuwa binti kaumbika kinoma, perfectly shaped body, thick and curved in all the right places, exactly how I like them; ila tu nimeshindwa kabisa kabisa kuwa hisia za kingono/kimapenzi juu yake, kabisa. She's that babe I truly believe I could share a bed with, and behave with ease, all day every day.

I have tried explaining it to the clique, but they're not having none of it. Every time after a night out and what not, I get "debriefed" and put on the spot with the same ol' bs. To them, a brotha can't be cool with a mama without smashing it. They're bugging that if I don't hit it, the mama might get some funny ideas about me or probably get offended. And I always reply with that "are y'all done or are y'all finished" look.

Fellow brothas, some of you get where I'm coming from, right?[/QUOTE]

Umenikumbusha kipindi nipo skuli. Nilikumbwa na kitu kama hicho lakini nilihimili hadi leo ni rafiki wa kawaida. Ila kwako naona kitu cha ziada ambacho ni mapenzi coz you like the way she is. Kula tu hata kama hisia hazipo tayari, usije ukajutia mbeleni akianza kupigwa na washkaji wako hao.

Wanakuchunguzakimtindo ili wafahamu kuwa unamla au humli.
 
Nimesoma tu kwenye kiswahili hapo kwenye kiiinglish
 
When you are not feeling someone, you are just not feeling them. There's no fakin' it, no giving it a try...just saying.

Maybe..maybe not.

All I know is men and women are wired quite differently.

But that doesn't mean all men are the same or all women are the same.

My two cents from a distance.....
 
Haha, why not? If I can't do it, somebody else has to.

But here's what I don't get..

Why are your homeboys so concerned about you smashing her?

Y'all roll like that? Being up in each other's business including who smashes who?

To me that sounds like man law violation.

What say you?
 
Man, we don't roll like that. It's only the case with this one.

I have no idea what's their deal.
 
Mweeeh! Wacha nitafune bisi za kupima tu..! This conversation.. Levels!
 
Back
Top Bottom