Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Kuna binti tunafanya kazi industry moja, so wakati mwingine huwa tunafanya kazi pamoja. Nimetokea ku-connect sana na huyu manzi, toka siku ya kwanza. Na tunaelewana kinoma, na mambo yananoga zaidi cuz anajua kiswahili kiasi chake. Rafiki na tunaofanya nao kazi kwa karibu wanajua uhusiano wetu, ila tatizo ni wanalazimisha kuwa kuna zaidi au kulitakiwa kuwa na zaidi. Hii ni kwa rafiki wa pande zote.
Washkaji zangu ndio wamezidi. Hawa jamaa tunaweza plan kutoka, na watalazimisha nimualike huyo bibie, sio tatizo. Shida ni pale usiku ukishakolea, watatafuta mbinu za kuchochea kitu baina yetu. Ukweli ni kuwa binti kaumbika kinoma, perfectly shaped body, thick and curved in all the right places, exactly how I like them; ila tu nimeshindwa kabisa kabisa kuwa hisia za kingono/kimapenzi juu yake, kabisa. She's that babe I truly believe I could share a bed with, and behave with ease, all day every day.
I have tried explaining it to the clique, but they're not having none of it. Every time after a night out and what not, I get "debriefed" and put on the spot with the same ol' bs. To them, a brotha can't be cool with a mama without smashing it. They're bugging that if I don't hit it, the mama might get some funny ideas about me or probably get offended. And I always reply with that "are y'all done or are y'all finished" look.
Fellow brothas, some of you get where I'm coming from, right?