Canon 6D unveiled | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Canon 6D unveiled

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Endangered, Sep 17, 2012.

 1. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu heshima mbele,k
  wa wale wadau wa photography, ama cinematographers au lovers wa camera in general ama wadau wa nikon (a.k.a wapinzani), hatimaye Canon wametoa edition ya 6D, The Lightest and smallest full frame DSLR.

  DSLR kwa wasioijua ina maana Digital Single Lens Reflex, imepishana na za wapiga picha wale wa zamani mtaani, wao walikuwa wanatumia SLR, bila D. Si unakumbuka walikuwa wanaweka mkanda, though still wapo ukipita mitaa ya Congo, wengi wanapigia passport size.

  Okay back to the 6D.
  Ifahamike kuwa kuna entry (toleo) kama 5D, 5D Mark II, na 5D Mark III - more than a number. afu kuna 7D (built to last kwenye mazingira hata ya jangwani)
  [​IMG]


  Ujio wa 6D utawezesha wadau wa photography kupata bidhaa adimu kwa bei chee hasa ikizingatiwa kuwa na specs zifuatazo.

  Hii kitu ina 20.2 Megapixels, na ni the first Canon EOS kuwa na WiFi, na pia ina GPS, so unatag picha na kushare unapopiga. Ina 11 point autofocus system (hapa achana na monster kama 5D mark III ambayo ina 61 autofocus points) ina 25,600 ISO, na pia ni Full HD. Image processor ni Digic 5+, na ina CMOS censor. frames per second si nyingi though, 4.5 si mbaya japo. kizuri zaidi ni kwamba hii ngoma unapata HDR (High Dyamic Range) photography. So unaweza kutengeneza wallpaper za kutosha kama huwa unazungukia bush.

  Ni kwa uchache tu kwa sasa, wacha niendelee kufatilia nijue nini zaidi. Ila kumbuka kwamba hii ni bei rahisi zaidi ya 5DM3, au hata 1D x, huwezi fananisha. It is the lightest, the smallest and the cheapest of the Full Frame Cameras so far for the Canon family.
   
 2. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  hii kitu ni balaa, kuna mshikaji wangu anamiliki 5d aisee sijapata ona picha zake, ila bei tu ndo balaa
   
 3. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,303
  Likes Received: 973
  Trophy Points: 280
  Tupia na bei za hapa bongo, mm ni mpenzi sana wa product za canon na nikon. uzuri wake huwa hamna mchina, kitu made in japani.
   
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mgodi najua bei wewe haitokushinda, maana ukizama tu na kuibuka una 4WD.
  hii kitu imekuwa reported around 2100 USD, so tunaweza sema roughly 3.5 za madafu unapata huu mzigo.

  by the way sokoni mtu atapata shidakwa kuwa just some few days ago (within the same week) Nikon nao walitoa full frame dslr, D600 (the smallest least expensive full frame camera) na bei yake ni 2100 USD, what a coincidence.

  Labda tu kwa kuelezea kuhusu full frame: film zinaokuwa theater were mostly shot with super expensive film cameras, ni kamera ambao unaweka mkanda (reel) kisha mnafanya shooting. afterwards hakuna shida kwenye compatibility unapopeleka theater. Nowadays, no wonder hata kampuni ya kodak ilishaacha rasmi kutengeneza film - kwa maana hasara inakua hamna watumiaji wengi. So, hizi full frame cameras ndio zimechukua nafasi, maana hazina shida kwenye unapopeleka theater because full frame cameras = 35 mm. 7D, 60D sio full frame, ila 1Ds, 1Ds Mark II, 1Ds Mark III, the monsters 5D, 5d Mark II, 5d Mark III and the baby 6D are full frames kwa hiyo unaposhoot, the material is cinema ready. kwa ufupoi ni hivo.
  [​IMG][​IMG]
  Hii ni mid-size slr iliyo na 39 Auto focus points, a cmos sensor with 24.3 megapixels, 6400 Iso expandable to 25,600. 5.5 fps, with water and dust proof, are you shooting videos? external mic connector ipo. GPS ni optional na haina wifi though. Kimsingi, kama kawaida mpambano unaendelea kati ya Nikon na Canon fans, everyone boasting of their names - D4 vs 5D Mark III, na hapa tuna D600 vs 6D. swali ni kwamba what is next.

  Bibliography:

  Cnet Reviews
  DP review
  PR Wire
  Engadget

  I'm out kwa sasa, ila C6 niambie we ungeiendea ipi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...