CANALSAT DECODER 269,000
monthly subscription 63,000
View attachment 193847
canalsat decoder ni decoder itakayokupa channel zaidi ya 120, kwa ghalama nafuu kabisa ya 63,000 kwa mwezi, ni official kama vilivyo ving'amuzi vingine haisumbui na ina signal ya kutosha kwa kutumia dish la cm 90 (ft 3) tu.
kwa malipo ya 63,000 kwa mwezi utapata package itakayokuonesha channel za mipira yote katika ligi kubwa balani ulaya kama EPL, LA LIGA, SERIA A, BUNDERSLIGA, LEAGUE ONE, UEFA CHAMPION LEAGUE, EURO, FA, CARLINGCUP na michezo mingine kama NBA, FOMULA ONE, WWE pia kuna movie katika lugha ya english katika channel ya canal series.
jipatie decoder hii uburudike bila longolongo na kwa ghalama nafuu kabisa ya malipo ya mwezi.
CALL 0755711989
wapo ktk satelite ipi mkuu naona hawa ni.vunja bei maana dstv wengi tumeshindwa kulipia na decoda zao zipo ndani.madishi yapo nje kwa sifa kuwa fulani ana dstv kumbe si lolote
inamaana hata hii canal wamepata kibali kwa dstv
wapo ktk satelite ipi mkuu naona hawa ni.vunja bei maana dstv wengi tumeshindwa kulipia na decoda zao zipo ndani.madishi yapo nje kwa sifa kuwa fulani ana dstv kumbe si lolote
satellite ni SES 4, 22.0 W
ok. je hiyo beam ya ses4 22 inafika tanzania maana juzi kuna mwenzetu kaitafuta hiyo satelite karibia usiku kucha na hakuipata.na jamaa namuaminia kwa uwindaji
ok. je hiyo beam ya ses4 22 inafika tanzania maana juzi kuna mwenzetu kaitafuta hiyo satelite karibia usiku kucha na hakuipata.na jamaa namuaminia kwa uwindaji
Kwanza asante mkuu kwa huduma yako lakin nna maswal macahache
hyo 269000 ni inclusive na subscrption fee ya first month au ni kwa receiver peke ake? Vip gharama za ufund maana naona kuna mdau alisema ses 4, 22.0 w kupata ni kazi sana so where is your support on that
kitu kingne ni kwamba una office incase nikihtaj customer suport vikipata matatizo?
Matangazo ni kwa lugha ni kifaransa tu au kiingereza?
Naona wanatumia mediaguard:cool2:
vipi Naweza kutumia Smart card yao kwenye decoder yangu ya dreambox?
Au wamezifanyia marriage?
je mwezi ukiisha ku renew ni wapi?
maana hawa jamaa hawa operate Tanzania
Pili huwa wana SS3 Lakini kuipata mpaka ulipe 92,000/=(kuna mtu wa Burundi anatumia alinambia hivo) na 48,000/= unapata Canal sport,cinema etc
Je hiyo yako 63,000/= tunaona channel zipi?
wapo ktk satelite ipi mkuu naona hawa ni.vunja bei maana dstv wengi tumeshindwa kulipia na decoda zao zipo ndani.madishi yapo nje kwa sifa kuwa fulani ana dstv kumbe si lolote
Nataka nikupe angalizo hawa canalsat wanachanel Moja tu inayoonyesha mpira, hivyo siyo rahisi kuona mechi zote za EPL endapo zitachezwa kwa wakati mmoja