Canal mstaafu Fabiani Massawe

Canal mstaafu Fabiani Massawe

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,648
Jamani naomba kumjua huyu canal

historia yake amezaliwa wapi ametumikia taifa muda gani. ni makini sana huyu jamaa kama sikosei ni mkuu wa mkoa wa kagera.
Karibuni wakuu tumjue.
 
mleta mada Kakojoe ulale. Acha kujadili watu, nadhani upeo wako hauna tofauti na mtoto wa darasa la 6. Mtafute IGP ili akupe taarifa za huyo uliyesema ni Polisi wa Tabora.
 
Jamani naomba kumjua huyu canal

historia yake amezaliwa wapi ametumikia taifa muda gani. ni makini sana huyu jamaa kama sikosei ni kamanda wa polisi mkoa wa tabora.
Karibuni wakuu tumchambuwe.

aisee una uhakika unacho kinena??

yuko hapa jamvini anakusikiliza anza wewee unamjulia uko tabora ...kukusaidia kuna tangazo moja itv na eatv anaonyeshwa kwenye mambo ya utalii akionyesha eden yake Kagera

anasema Kagera ni eden .....tafuta yuko wapi urekebishe

napita tu leo nyerere day ngoja niende taifa
 
wewe umelewa gongo.yaani mwanajeshi mstaafu amekuwa kamanda wa polisi wa mkoa???

Member Array

Join Date : 8th October 2014

Posts : 67

Rep Power : 314
Likes Received13
Likes Given29

vingine research aalafu mnapotezea jamani sio kosa lake
 
mleta mada Kakojoe ulale. Acha kujadili watu, nadhani upeo wako hauna tofauti na mtoto wa darasa la 6. Mtafute IGP ili akupe taarifa za huyo uliyesema ni Polisi wa Tabora.
Member Array

Join Date : 8th October 2014

Posts : 67

Rep Power : 314
Likes Received13
Likes Given29

vingine research aalafu mnapotezea jamani sio kosa lake
huyu kajoin kwa ajili ya Kamanda mstaafu loh
 
Jamani naomba kumjua huyu canal

historia yake amezaliwa wapi ametumikia taifa muda gani. ni makini sana huyu jamaa kama sikosei ni kamanda wa polisi mkoa wa tabora.
Karibuni wakuu tumchambuwe.

Wewe jamaa mbona unajichanganya sana kwenye maelezo yako.
 
A
Member Array

Join Date : 8th October 2014

Posts : 67

Rep Power : 314
Likes Received13
Likes Given29

vingine research aalafu mnapotezea jamani sio kosa lake

alafu we Pdidy, acha viroba mkuu, kwanza umejua kuandika? Mbona siku hizi hutupi tena habari za airport JNA?

Niko hapa jf toka 2007 nikitumia Id tofauti.

Acha ujinga.
 
Last edited by a moderator:
Kanali mstaafu Fabian Massawe amezaliwa mkoni Kilimanjaro, kijiji cha Mkomongo, Kibosho. Ametuikia jeshi la wananchi tangu miaka ya 1970 katika nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkuu kituo cha elimu ya sekondari ya jioni Mgulani Dar es Salaam (sasa Jitegemee Sec). Baadae alikuwa mkuu wa kwanza wa shule ya Jitegemee kwa miaka zaidi ya 15 kabla ya kuteuliwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni, baadae Muleba na Karagwe. Kwa sasa Kanali Massawe ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
 
ninachokumbuka ni kwamba aliwahi kuwa headmaster wa Jitegemee(JKT) high school
 
Ukishaona katoto hakashibi maziwa ya mama yake mpaka kanaenda kunyonya live kwa ng'ombe ujue ni sheeda.
 
Na alupoindoka tu Jitegemee ikashuka sana kitaaluma hadi leo haiwajaweza kuamka tena. Ila ni mchapakazi sana na ingewezekana angerudishwa tena Jitegemee kuiamsha na si kupotezea talents hizi katika siasa.
 
Kanali mstaafu Fabian Massawe amezaliwa mkoni Kilimanjaro, kijiji cha Mkomongo, Kibosho. Ametuikia jeshi la wananchi tangu miaka ya 1970 katika nafasi mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkuu kituo cha elimu ya sekondari ya jioni Mgulani Dar es Salaam (sasa Jitegemee Sec). Baadae alikuwa mkuu wa kwanza wa shule ya Jitegemee kwa miaka zaidi ya 15 kabla ya kuteuliwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni, baadae Muleba na Karagwe. Kwa sasa Kanali Massawe ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

ni mtoto wa kwanza wa mzee Ignas au Inyasi Mark Massawe na alizaliwa kijiji cha Kifuni kata ya Kibosho magharibi. Elimu ya msingi alisoma Umbwe na sekondar alisoma Umbwe sec. Zidi ya hapo tulipoteana na kuja kukutana Dar akiwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Kwetu alikuwa role modal kwani alitutia moyo wa kupenda kusoma hasa wakati tulipokuwa tunamtembelea pale Umbwe sec. Alitugawia karanga na ugali wa shule. Ni mmoja wa viongozi waliolelewa katika maadili yaliyotukuka na uchapaji kazi wake upo kwenye damu kwani familia atokayo ni ya wale hardworkers na wenye hofu na mungu. Anao nduguze aliowahamasisha sana kusoma na alijitahidi kuijenga familia ya kisomi. Hata wazee wetu waliiga kutusomesha kupitia familia yao. Mungu ampe maisha marefu aweze kutuongoza katika maendeleo kwani ni kati ya viongozi wachache wabunifu. Mfano jitegemee sec na mgulani ni moja ya ubunifu wake.
 
A

alafu we Pdidy, acha viroba mkuu, kwanza umejua kuandika? Mbona siku hizi hutupi tena habari za airport JNA?

Niko hapa jf toka 2007 nikitumia Id tofauti.
U
Acha ujinga.
Yeah! Nimekuelewa mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom