Joseph Joshua Maungo
New Member
- Apr 24, 2018
- 1
- 1
Vp Umefanikiwa ku sort issue yako, Natakq Kununua Canal sijui bei zake zikoje ?Wadau Decorder yangu ya CANAL imekata channel zote za mpira 12, 13 na 14 hata 112, 113. Wakala aliyeniunganishia ni wa Burundi ameshindwa kunisaidia anadai aki"refresh" mashine yake inadaiwa ilipe 21,000/!! Hapa nifanyeje ili nione fainali maana nililipa tarehe 3/5 na mwezi haujaisha?
Nipo naviuza mkuu,tuwasiliane tafadhaliVp Umefanikiwa ku sort issue yako, Natakq Kununua Canal sijui bei zake zikoje ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm naye natakaNipo naviuza mkuu,tuwasiliane tafadhali
Nipo naviuza mkuu,tuwasiliane tafadhali
Naam,karibu mkuuStarset (sijui kama nimepatia spelling)
Uko nacho iko kingamuzi?
Dar,nakutumia mkuuhivi wakala wake hakuna aliyepo Dar Arusha au Mwanza? ni burundi tu?
150,complte set
ππTuma vifulushi vyake mkuu
Mpira napata kwa lugha ya English?40,000/= kifurushi unachoweza ona game zote mpaka UEFA
No,ni frenchMpira napata kwa lugha ya English?
ππ
Zaidi ya tanoNimeona mkuu, chanel ngapi za sport?
Naam,karibu mkuu
Zaidi ya tano