Canadian Democracy - Waziri Mkuu akimbia Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Canadian Democracy - Waziri Mkuu akimbia Bunge

Discussion in 'Great Thinkers' started by Zitto, Dec 5, 2008.

 1. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #1
  Dec 5, 2008
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Dec 5, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa wakati mzuri kama huu ambao CCM wamegawanyika,hilo linawezekana sana.

  Lakini pale tu kutakapokuwa na kura ya siri.Bunge ndilo mkombozi wetu kwa sasa kama tunataka mambo yanyooke kabla ya 2010.Shida ni juu ya ujasiri wa wabunge
  wetu
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2008
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mh. Zitto, upinzani wa wenzetu kule Canada ni well organized sio kama sisi hapa ambapo hata vyama vya upinzani havina common stand kwenye national issues. Uchaguzi wa Tarime tu vyama vimeshindwa kukubaliana kuwaunga mkono Chadema ambao ndio walikuwa na nguvu kule. Tatizo lingine ni kwamba upinzani hapa kwetu hawana wabunge wengi ambao numbers zao zinaweza kuwa na impact when voting in parliament; kwahiyo kuishinikiza Serikali yenye wabunge wengi kufanya uamuzi however important to the nation inakuwa kazi kubwa sana ambayo kufanikiwa kwake ni ndoto!!. Tunangojea huko Mbeya vijijini kama mtazinduka na kuafikiana kumsimamisha mgombea mmoja!!.If the Tarime experience is anything to go by, I would advise Chadema to go it alone.
   
  Last edited: Dec 5, 2008
 4. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #4
  Dec 5, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
Loading...