Canada: Watu 11 wauawa katika sherehe za Lapu Lapu

Canada: Watu 11 wauawa katika sherehe za Lapu Lapu

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
30,057
Reaction score
34,212
27 Aprili 2025
Vancouer, Canada

View: https://m.youtube.com/watch?v=KzeegXPn-OU
Watu waliokuwa katika sherehe za siku ya Lapu Lapu tarehe 26 Aprili 2025 katika mtaa moja wa mji wa Vancouver Canada waliuawa kwa kugongwa na gari la SUV kwa makusudi.


Police wa Vancouver wamesema mshukiwa wa shambulio hilo amekamatwa na yupo mikononi mwa polisi, pia mshukiwa huyo taarifa zake za siku zilizopita zipo ktk idara za kiserikali za masuala ya afya.

Sherehe hizo za Lapu Lapu huadhimishwa na jamii ya waFilipino mjini Vancouver Canada kila mwaka. Kutoka na majeruhi waliopo idadi ya waliopoteza maisha inaweza kuongezeka idara ya polisi imesema.


The Vancouver Police Department provided an update on the devastating incident Sunday, calling it the “darkest day in our city’s history.”Eleven people have been confirmed dead after a man drove an SUV into a crowd celebrating at the Lapu Lapu Day festival Saturda
 
Ayo magari SUV ni Hatari kwa Usalama mtu anaweza kulijaza Maboom na kulielekeza atakapo !!!

hiii Technology sio Salama kwasasa Dunia imejaaa watu wenye vidonda ktk nafsi zao !!!

ndio mana watu wanajiuwa sana Hatari ipo kubwa uko mbele..
 
Back
Top Bottom