Madame usiniambie unatumia [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ubalozi wao uko wapi? Huko ndiyo kwa kwenda holiday.
hapanaMadame usiniambie unatumia [emoji15] [emoji15] [emoji15]
kumbe unatumia hii kitu plantae? ndio maana post zako sizielewihapana
Hii kitu ikihalalishwa haitanoga. Raha ni ile unapotumia kwa kujifichaficha.Kuna Rafiki yangu hii sheria ikipita hapa +255 atafrai sana maana wanapishanaga na mwanae kwa pusha. Baba bangi mtoto bangi
Kweli unalinganisha ushoga, ugaidi na bangi? You are not serious! Bangi inakosa gani. Ni mboga kama ilivyo mchicha!Wanzungu wako bize kuhalalisha kila kilicho haramu, ushoga, bangi basi wahalalishe na ugaidi
Hawa wameambiww uzinzi ni dhambi ila wanaendelea tu bangi hamna hata sehemu imeandikwa ni dhambi wanaleta mambo yao ya ajabuKweli unalinganisha ushoga, ugaidi na bangi? You are not serious! Bangi inakosa gani. Ni mboga kama ilivyo mchicha!
Mzee bangi wanayovuta wao hapa TZ huipati hata ulime kwa kutumia nnMe naomba tz tupewe kandarasi la kuuza bangi marekani na canada
Hahaa!!!!! Vipi lakini jamaa yupo smart?Kuna Rafiki yangu hii sheria ikipita hapa +255 atafrai sana maana wanapishanaga na mwanae kwa pusha. Baba bangi mtoto bangi
Sky are you smoking?Ubalozi wao uko wapi? Huko ndiyo kwa kwenda holiday.
Inashangaza sana. Mi nakula km mchichaHawa wameambiww uzinzi ni dhambi ila wanaendelea tu bangi hamna hata sehemu imeandikwa ni dhambi wanaleta mambo yao ya ajabu
Cha ukuchaHawa wameambiww uzinzi ni dhambi ila wanaendelea tu bangi hamna hata sehemu imeandikwa ni dhambi wanaleta mambo yao ya ajabu