Canada Canada Canada

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,366
Reaction score
3,561
Umofia kwenu.

Wazoefu tupeane uzoefu.
Nataka nitimbe na wife Canada na wife akajifungulie mtoto huko tupate passport ya mtoto Canada.
Wanaoishi Canada au wenye uzoefu na njia hii nipeni mawazo au uzoefu wenu.
Changamoto ziko wapi before and after.
Nawasilisha
 
Kwanza unataka Visa ya Visiting au tourism , maana kuna visa za aina nyingi . ukinijibu unachotaka nitaendelea na unachotaka
 
Toronto kuna wahindi wengi sana pale nilikwenda mpaka wafanyakazi wa hotelini wadosi.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Kwanza unataka Visa ya Visiting au tourism , maana kuna visa za aina nyingi . ukinijibu unachotaka nitaendelea na unachotaka
Mkuu sijajua ipi ni ipi lakini yeyote tu. Sema kwa haraka haraka tourist visa maana nahisi visiting si unatakiwa uwe na mtu wa kumtembelea au?? Na mimi sina mtu.
 
Na tumbo lake apande ndege ya nani,
Labda aandikiwe ugonjwa
Wabongo kila siku mambo yasipoenda vizuri tunamalozia na sentensi "wapi tunafeli"
Wewe ni wa ajab sana. Hatujui mambo lkn conclusion tunazotoa utafikiri tunajua. We jamaa hapo inawezekana hata ndege hujapanda tangu uzaliwe lakini una conclude kabisa. Pathetic. Hapa sasa ndio wabongo tunapofeli. Tunajua kila jambo.
Nifate PM nikuelezee kuhusu mimba ikifikia miezi mingapi huwezi kabisa Ku fly. By the way hata hiyo limit iloyowekwa waweza kui wave kwa kufuata masharti flani.
Hivyo mkuu next time comment vitu ujuavyo
 

Hahahaha mbona unataka kupasuka mkuu nasema hivi huyo bibie na tumbo lake haendi popote tunaelewana !!
 
Njia rahisi ni kujiwasha! Jifanye choko utawin! Unaanzisha case ukiimaliza unapewa uraia
 
OMG!! Yaani kutaka passpoti tu ?? Kwani hii ya TZ umenyimwa? Wee ngoja Madam ajifungue kwa Salaama baadae msajili cheti na ukajiandikishe Rita;Nida na uhamiaji ....ukishapata vitambulisho husika... Ntakupa Njia ya kuwasili huko Majuu!!
Nafasi yako bado ipo ...usiwe na haraka!!
 
Wee si mwanaCCM unampenda Jiwe na nchi yako?
 
Sawa mk πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu. Tafadhali nipe ABC sasa hivi nijipange. Inbox au mwaga hapa km hutsjali. Nijue tu in advance
 
Njia rahisi ni kujiwasha! Jifanye choko utawin! Unaanzisha case ukiimaliza unapewa uraia
Aya weeeeeeee!!!!! Uchoko tena. Dah ngumu kumeza. Hata km ni Ku act Mungu hapendi ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…