Can you name these artists?

Can you name these artists?

Huhuhuhu mkuu mimi ni mdada i love hip hop sijui rap music hadi najishtukia sometimes.
Aisee, I feel you. Napenda sana wadada wanaokubali music WA hiphop, u remind of a certain sis of mine anaitwa jen giddy
 
Hiyo picha ni ya kwenye ile nyimbo ya Dj Khaleed alomshirikisha Future na Jay Z inaitwa I got the Keys!.
Ukianzia kulia ni :-
FABULOUS
FUTURE
DJ KHALEED
T.I
MASE
JAY Z
2 CHAINZ
RICK ROSS
SWIZZ BEATZ
BUSTA RYHMES
YO GOTTI
ASAP ROCKY!.
Na hao ni wale famous lakini ukiangalia kwenye video yenyewe wapo na niggas wengine kibao!.. Lakini picha ingekamilika angekuwepo KANYE, NAS, DIDDY, MISS ELIOTT, LIL KIM, SLIM, LUPE FIASCO, COMMON.
 
Back
Top Bottom