Amma kweli dunia inaelekea kuzimu.
Mtoto wa kike anajianika ili aonekane na kusifiwa! uzuri wa sura? uzuri wa miguu? uzuri wa nywele za kubandika? uzuri wa rangi za photoshop? haya sasa wekeni na hiyo harufu? haya tieni perfume hizo picha!
Vijana wanawake mnajidhalilisha, hawa wanaume mnajiweka wazi kwao hawana kheri na kujiachia kwenu, furaha ya macho si raha za mioyo yao. Hebu mwambieni mmoja wao hapa aweke picha ya mkewe au dada'ke au mama'ke kajiachia! kama kweli wanaona raha kuona mwanamke kajiachia, nasema Mawee!
Labda liwe punga!