Can you help me pliz, abt da interview issue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can you help me pliz, abt da interview issue

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Carla, Sep 27, 2012.

 1. C

  Carla JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  jamani wapendwa hivi mtu akichaguliwa kwenye post mbili na interview ikawa siku moja inakuaje?
   
 2. nyaucho

  nyaucho Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ilitokea hivyo na kama ni utumishi bac itabid uchague tu moja, lakini kama ni makampun mengine unaweza kuwasiliana na moja wapo ukaomba uhairishiwe hku ukitoa sababu itakayowafanya washawishike kukubali ombi hilo.
   
 3. C

  Carla JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  t
  thanx for leting me know it was about utumish interview, one more help in one post we a 50 n the other we a12 wat ishud i choose then im nervers u know making choice iz such a sacrifice
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Choose the one that you qualify the most.
  All the best
   
 5. Azizi Mussa

  Azizi Mussa Verified User

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 7,602
  Likes Received: 2,243
  Trophy Points: 280
  inabibi uchague moja unayohisi ni rahisi zaidi kupata
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Du kwanza hongera sana kama ni wewe, kwa upande wangu hakuna shida kama ni siku moja masaa yanatofautiana na zote zipo sehemu moja mfano Dar itabidi ukubali kuingia cost ya tax unamaliza moja then unakimbia fatsa kwenye nyingine. But kama masaa yapo sawasawa cha kufanya ni kuatend kwanza ile unayoona kuna matumaini na ile ambayo unaona hakuna matumaini wapigie waambie ulikua safari mkoani waambie utachelewa kama saa moja yaani watakuelewa.Lakini ukijifanya eti unaomba kuahirisha eti mapaka siku ya pili yake itakula kwako mazima hakuna atakaekusubiri katika zama hizi ambazo unakuta post moja applicants 300
   
 7. nyaucho

  nyaucho Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapo itabid ucheki walikua wanahitaji kuajir watu wangap katika hizo nafac walizotoaga hafu ndo ufanye uhamuzi wako. mfano unaweza kuta kwenye hiyo walioita watu 50 wanahitaji labda watu 10 hapo inamaana nafac moja inagombaniwa na watu 5, na hiyo ya 12 labda wakawa wanahtaj watu 4 hapo inamaana nafac moja mtu 3 inagombania. Cha muhimu cheki ni ipi umeipenda zaid halafu uanze kujiandaa fresh kwa interview ili utoke.Kila la Heri
   
 8. k

  kilaboy Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  Kikubwa chagua ile ambayo unaona kuwa unaeza kjimwaga bila ya kukutetereka, pia usiangalie uchache wa watu kwenye interview coz unaeza kuta watu wachache but ukakutana na watu wenye experience more than you,
  angalia wapi unajiaamini kaka
   
 9. C

  Carla JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  thanx wadau tuzid kuombeana much love to uu
   
 10. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  hiyo interview unaenda kufanya kwa lugha gani?
   
 11. C

  Carla JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  sijajua mpz ni lugha gani im just waiting, im ready for any lang
   
Loading...