Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Usiseme tusisingizie wakati ndio uhalisia. Nyie mko after money ndio maana hata uaminifu ni 0!
Hujui hata athari za hio tabia ya tamaa za pesa?
Hatuko after money, ni kaujinga tu mmejijaza ili kuficha uchoyo wenu. Tuko after love na tunawapenda kweli. Acheni tu uchoyo ili mahaba yadumu. Acha ubishi basi we mpare jamani, hebu toa pesa.
 
Njoo kwangu mrembo, mungu kweli anajibu kwa wakati jamani 🤣🤣🤣
Ooooho this is a trap,niliwahi kuwa na mdada mpaka mtonyo ananipa ila nilichokuja kugundua anatoa huko analeta kwangu...it was a shame,bora mwanamke anayekuomba hela
 
Back
Top Bottom