Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Hivi kuna saa niliona imeandikwa kizungu nikajua ni pombe naona upside down
Hebu aje aniambie ni saa ngapi sasa hivi hapo marangu!
Hivi kuna saa niliona imeandikwa kizungu nikajua ni pombe naona upside down
Hebu aje aniambie ni saa ngapi sasa hivi hapo marangu!
Poa bro ila mm sio ke na ninaandika kingereza. Jaribu kupunguza wivu wa kimama





Hivi kuna saa niliona imeandikwa kizungu nikajua ni pombe naona upside down




Cha msingi mdogo wangu tafuta pesa.Hutakiwa kuwa na pesa ili upendwe..
I've changed my mind![]()
Basi kajichanganya akaumbukaKumbe vingereza navyo vinateka![]()
Unajua nimecheka sana na kuita Didi.Kumbe kingereza cha gugo![]()


naona huko aliko hata mwenyewe anajichekaUtakapojisikiaHivi vijana wangu Saint Anne na Zoë ni wakati gani mpenzi asie mkeo unatakiwa kumpa hela ?
Unaweza kuta ni yule mswis😂😂😂😂😂Yeleiwiiii
Alikuwa anajifanya kuongea vingereza vingi na kujifanya sijui yuko nchi gani kumbe hapo Marangu sebuleni kwa shemaji yake baada ya kushiba machalari
Nimemkumbuka yule mswisi
eeeh aisee watu wako na mambo mengi
Ili aonekane yuko nje ya nchi hapo Marangu.
Alikuwa anajitafutia maujiko kwa kitu kisichochake.
Umetufukuzia "muingeleza" wetu.
34Una umri gan saint anna
Safi kabisa, kulingana na wachingiaji jinsia yako, inaonekana ya kuwa jukumu la kutoa hela ni la wanaume kwenda kwenu nyinyi wanawake/wasichana ? Kwanini katika kutoa hela jukumu lina kuwa letu sisi ila katika mengine huwa mnataka tufanane ? Hili ni kwa mujibu wa ada na desturi au mmekuta hali iko hivyo ?Utakapojisikia
Saa nane mchana. Najua huko ni usiku😂😂😂😂
Hebu aje aniambie ni saa ngapi sasa hivi hapo marangu!
Yepi ambayo tunataka tufanane?Safi kabisa, kulingana na wachingiaji jinsia yako, inaonekana ya kuwa jukumu la kutoa hela ni la wanaume kwenda kwenu nyinyi wanawake/wasichana ? Kwanini katika kutoa hela jukumu lina kuwa letu sisi ila katika mengine huwa mnataka tufanane ? Hili ni kwa mujibu wa ada na desturi au mmekuta hali iko hivyo ?