I definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money
Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?
Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!
Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.
Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.
Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.
Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini
