Can you crack the password?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Haya Ma-Genius kazi kwenu,

20240312_144311.jpg
 
Mtoe na maelezo jameni
Kwenye hints wanasema
Haya Ma-Genius kazi kwenu,

View attachment 2932656
Kwenye hint ya (4) inasema 738 zote sio sahihi hivyo kwenye hint (5) 780 namba moja ndio sahihi lakini haipo kwenye nafasi yake, kwahiyo kama 7 na 8 tuliambiwa sio sahihi,namba sahihi ni 0 lakini tumeambiwa haipo kwenye nafasi yake. Tukiangalia hint (3) 206 inasema namba mbili ni sahihi lakini hazipo kwenye nafasi zake, hivyo tunagundua kua 0 haipo mwisho pia haipo katikati kwahiyo itangia kwenye digit ya kwanza.

Jibu la kwanza 0__ ✅

Tukirudi Kwenye hit ya (3) 206 inasema namba mbili ni sahihi lakin hazipo nafasi zake, tumeprove namba ya kwanza ni 0 hivyo namba ya pili sahihi itakua ni 2 na sio 6 kwa sababu kwenye hint ya (1) 682 inasema namba moja ni sahihi na imewekwa kwenye nafasi yake sahihi na hint (2) 614 inasema namba moja ni sahihi lakini haipo kwenye nafasi yake, kwahiyo moja ka moja haiwezi kua namba 6 kwa sababu sita ipo mwanzoni wa hints zote mbili na kwenye hint (1) 682 unagundua namba nane pia sio sahihi, hivyo jibu ni 2 na itakaa kwenye digit ya mwisho

Jibu 0_2 ✅

Tunatafuta digit moja iliyobaki kwa kutumia hint (2) 614 ambayoinasema namba moja ni sahihi lakini haipo kwenye nafasi yake hivyo tunagundua tumebakisha 1 na 4, na nafasi iliyobaki ni ya kati, hivyo kama 1 ni sahihi haiwezi kua katikati kwasababu hint (2) imetuambia hapo kwenye nafasi yake. Kwahiyo no 4 ndio namba sahihi.

Jibu 042 ✅
 
Fantastic
 
I see, hapo sawa mkuu, shukrani.
 
Back
Top Bottom