DJ BABU
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 209
- 0
mnajua mazee mi mwenyewe nini nasakanya li true love langu
halafu muda unaenda tu halafu sijui yuko wapi wala nini
ingawa mashortie wanazimika sometime mi naona swaga ndo zinawazingua
sasa mi ntajuaje ka ndo true love?
kumpenda mtu hujifunzi wazee ma chemistry lazima yafanye kazi