Katika kila mfumo wa maisha ya binadamu kuna mambo ambayo huwa yanaendana na mfumu huo. Wakati wa ujamaa kulikuwa na uwezekano wa mapenzi ya dhati kwani jamii iliishi kiundugu zaidi.Sasa katika hii hali ya Kiliberali (Neo-Liberalism) in every sphere of life you must have something to exchange. Hakuna dada atakubali aolewe tu na jamaa akale bamia uswahili aache kufikiria maisha ya baadaye,na familia yake watoto watasoma vipi na wakiugua wapi watapata matibabu.In order to be able to exchange you must have social capital (Wealth in general, sura nzuri, kipaji kinachokutofautisha na wengine, Elimu nzuri), hivyo ni baadhi tu ya social capital ambazo zinaweza kumfanya mtu aweze kuexchange na mwingine ambaye pia anauwezo wa kuexchange kitu ambacho hana.Tukumbuke kuwa wakati wa ujamaa most social capital were shared, kama mali hatukupaswa kulimbikiza, nguo wote either dada awe mzuri au mbaya ni zile zile, viatu vilikuwa vya bora kulekule, shule wote walikuwa wakipita vyuo vya serikari, hakuna cha English academia wala kwa Kayumba.n.k, Sasa maisha yamebadilika jamani. Tutaumiza sana vichwa na kutunga sana story hatupati jibu. Try to follow this formular will help you.
Dada mzuri + elimu nzuri+ family back ground kiuchumi na network nzuri+ kazi nzuri= huyu anaweza akajaribu kusustain maisha na=Mwanaume handsome maisha+ kazi nzuri+family background safi here they share the power to exchange, hiyo formular inakwenda mpaka kwa maisha kama ya kwangu na mie..chini kabisa.
Pia kunawezekanao handsome boy ambaye ana hela kidogo akamuowa mwanamke mbaya lakini mwenye hela tena pia anaweza akawa ana umri mkubwa. Hawa wataechange na wanaweza kudumu, Hivyohivyo mwanaume mwenye fedha zake za kutosha lakini mwenye sura ka jipu anaweza kuowa mwanamke mzuri na wakadumu, hawa nafikiri mnajua wanaechange nini!!!!.....
Kama unataka pressure na kufa haraka kama watani zangu wa kule Iringa basi jaribu kuvuruga formular hii...mfano wewe eti handsome men huna hela harafu ukaowa mwanamke mkali na huwezi kumhudimia, wenye kuweza kumvalisha watakusaidia sana na utakonda mpaka cha moto ukione. Hivyohivyo kwa mwanamke, sura yako mbaya, huna elimu, huna mali familia backgroup yako mbovu, network yako ya malofa tu kama mimi, eti unataka mwanaume mwenye hela, handsome tena usimbe akawa politician, utalea watoto nyumbani kama backtatu, na utasaidiwa sana na watoto watauni...................................
TAFAKARI ANGALIA UNAFIT WAPI NA NANI MNAWEZA SHARE (exchange) some thing kwa maisha ya sasa. Kila kitu kiko sakoni ndugu zangu kama huna meno acha utakufa!!!