Can the court be sued?

Unaisue court kivipi
maana kama ni maamuzi ambayo huridhiki na uamuzi wa mahakama unakata rufaa
Na kilichofanyika pale mahakamani ni hakimu au judge kutoa maamuzi ambayo kama huridhiki nayo unaikatia ile hukumu rufaa ila sio mahakama nzima imefanya kosa
na unapoishtaki mahakama yule judge aliyeamua kesi au hakimu hayuko peke yake kuna mahakimu wengine au majudge wengine na wafanyakazi kibao wa mahakama ambao hawahusiki na wewe
Hata kama huna imani na judge au hakimu unamkataa
court as a court huwezi ukaisue mkuu
 
Mr.Rocky,thanks anyway.The issue is wether,the court(Judiciary) being one of the organ of the Government,executive and legislature inclusive and the fact that the rest can be sued,why not the rest?Remember,the court is like any other institution.
 
Unaweza ukaishtaki serikali mahakamani iwapo kuna infringment of ur rights au unademand state to fulfil its obligations kwako ila huwezi ukaiseu mahakama. Iwapo unaona kuwa mahakama haikutenda haki kwako unakata rufaa na sio uishtaki mkuu
Ni kweli mahakama ni kama other institution ila can not be sue or being sued
 
Mahakimu na Majaji wana kinga ya kutoshitakiwa (immunity) kwa maamuzi yao hata kama yamekosewa. Hii ni kwa mujibu wa sheria
 
Hapa sizungumzii mahakimu wala majaji,nazungumzi mahakama kama taasisi.
 
Hapa sizungumzii mahakimu wala majaji,nazungumzi mahakama kama taasisi.

Huwezi kuishtaki mahakama. Kama kuna issue yoyote against the mahakama una appeal. hata kama ni wazi kabisa kuwa hukumu imepindishwa wazi wazi you appeal against that ruling. Au, Kwa mfano, labda umepata taarifa kuwa pale ilipo mahakama ya mwanzo kijijini kwako imejengwa/ilijengwa kwenye shamba /ardhi ya baba yako or whaterver relative, unaishtaki serikali (AG) na sio mahakama kama unit- nafikiri hivyo
 
Back
Top Bottom