Can money buy love?

true love is there but scarcity is a problem thus why money can buy a love SEE- JUDGE-ACT
 
actually, money cannot buy love. The price for love is love. if you want to buy love yuo have to pay love. however, money is a lubricant for love.
 
Money and love are co-joined twins. Take it from me, love can exist without money but that will be very short lived.

One can make a simple test (which I have done several times). Take a heap of 10000 notes (>1m) and throw them in the face of your darling and take a note of the facial gesture! She will smile like life has no limits!! But on a different occasion (and just close to a week end or an important party), talk about being broke and may be that all your plans to get money failed. You can compare the differences! You need to be very careful not to end up missing your daily bread after 10pm!

The bolded part is the truth! Sorry ...but thats a fact.
Those who always believe that love dont cost a thing are most probably the lazy ones.

Brothers out there you better work hard if you want to keep your love warm if not hot!
BTW im not supporting gold-diggers here.Im just advocating for hard work as the surest way to sustain your love life.
 
Money buys conditional companionship and/or sex, not true love.

TRUE LOVE IN CONTEMPORARY LIFE IS AN ENIGMA!
What is true love by the way?....Nadhani miaka ya nyuma enzi zileeeeeeeeeee labda kulikuwa na penzi la kweli.Penzi hili liliwezekana kwa vile lilikuzwa kwenye misingi imara - mila, desturi na hata imani za kidini zilisaidia sana kuimarisha wanaume kwa wanawake waweze kusimama imara kutetea haki zao za kupenda na kupendwa.Wake kwa waume waliongozwa na wakakubali kuogozwa nataratibu hizo. Siku hizi hakuna maadili, wala nini. Hilo penzi la kweli linaeleaelea hewani tu.Likipigwa na kaupepo kidogo linaanguka mwereka wa kishindo.

Watu wanajitahidi sana kuanza mapenzi kwa kudhania ati watapata penz la kweli. Maisha na ugumu wake, ukiachilia mbali ushindani na aina ya mfumo wa maisha ( life styles) hakuna jinsi utategemea kuwa na penzi la kweli bila pesa .Pesa itakuwezesha kufanya mengi kulilea penzi.
Ukiwa na pesa utaweza kumtumia mwenzi hata sms kama kupiga ni ishu, utaweza kupanda bajaj uwahi date hata kama huwezi kukodi taxi, utaweza kum surprise mwenzio hata na ua moja la waridi kama siyo bunch nzima, mtaweza kumudu milo miwili kwa siku hata kama siyo mitatu nk.
Ukiwa huna kitu, manung'uniko hayataisha, kitu kidogo tu kitampandisha mwenzio hasira na kisirani.Ugomvi nyumbani hauishi.Sasa hayo mapenzi ya kweli yatamea vipi?
 
Dah! WoS are you going through some turmoil in your love life? Coz here lately you've been sounding somewhat different than in the days of past...
 
NN,
What do u mean ..turmoil?
Im simply saying what needs to be said period. The truth.. nothing but the truth....
 
Re: Can money buy love?

...Yes, but only temporarily depending with the amount 'invested' vile vile.
More or less of it during relationship may cause strife, same like added value and devaluation in business.
Uki invest Mapenzi utavuna mapenzi.

TRUE LOVE IN CONTEMPORARY LIFE IS AN ENIGMA!
What is true love by the way?....Nadhani miaka ya nyuma enzi zileeeeeeeeeee labda kulikuwa na penzi la kweli.Penzi hili liliwezekana kwa vile lilikuzwa kwenye misingi imara - mila, desturi na hata imani za kidini zilisaidia sana kuimarisha wanaume kwa wanawake waweze kusimama imara kutetea haki zao za kupenda na kupendwa.Wake kwa waume waliongozwa na wakakubali kuogozwa nataratibu hizo. Siku hizi hakuna maadili, wala nini. Hilo penzi la kweli linaeleaelea hewani tu.Likipigwa na kaupepo kidogo linaanguka mwereka wa kishindo.

Watu wanajitahidi sana kuanza mapenzi kwa kudhania ati watapata penz la kweli. Maisha na ugumu wake, ukiachilia mbali ushindani na aina ya mfumo wa maisha ( life styles) hakuna jinsi utategemea kuwa na penzi la kweli bila pesa .Pesa itakuwezesha kufanya mengi kulilea penzi.
Ukiwa na pesa utaweza kumtumia mwenzi hata sms kama kupiga ni ishu, utaweza kupanda bajaj uwahi date hata kama huwezi kukodi taxi, utaweza kum surprise mwenzio hata na ua moja la waridi kama siyo bunch nzima, mtaweza kumudu milo miwili kwa siku hata kama siyo mitatu nk.
Ukiwa huna kitu, manung'uniko hayataisha, kitu kidogo tu kitampandisha mwenzio hasira na kisirani.Ugomvi nyumbani hauishi.Sasa hayo mapenzi ya kweli yatamea vipi?

...Spot on WoS!
Bila foundation ya ukweli, mapenzi hayadumu!
Ndoa haiwezi kusimama imara bila nguzo 'kuu' hizo ulizotaja;

-Imani
-Mila na Desturi.

Usipokuwa na msimamo kwa mojawapo au zote, ndoa itaporomoka tu.
 
Thats all about true love,the one which is unconditional and pure!but for conditional love money should play its part though without it no more love!,,,,Through your money you can buy an artificial love where by your money can be used by your lady to support the one she love mostly but having no money,,,take care

No concrete formula about love affair its a game of chance,its complex. A so called true love may exist in movies,novels,music songs and in rear cases in some lucky few couples.However most couples are married for life regardless true love,partial love or not.Life is too short you dont marry morning and divorce in the evening.
 
.......With money u can get anything...yes of course love....... hebu tuseme ukweli jamani if u have money relationship works better.Waswahili wanasema pesa ni sabuni ya roho. Siku hizi hata wanaume wenyewe wanapenda mwanamke awe na shughuli ya kufanya na sio golikipa.
Money plays an important role to give relations a stability ohhhhhhhhh!!
 
Yaani ni kweli kabisa.

Ukiwa na pesa mhhh, kila mtu nyumbani meno yote nje nje. Watoto waita Dad, dad, dad, daaad!!! Na mama yao naye ataimba bila kuchoka....yaaani daaarling wewe, mmhhhhh! Hadi raha. Subiri pesa zisafiri kidogo! Mweee, kila mtu anapauka ngozi inakuwa na ukurutu kama chatu!! Yaani hata sijui pesa ina sumu gani!
 
.......With money u can get anything...yes of course love....... hebu tuseme ukweli jamani if u have money relationship works better.Waswahili wanasema pesa ni sabuni ya roho. Siku hizi hata wanaume wenyewe wanapenda mwanamke awe na shughuli ya kufanya na sio golikipa.
Money plays an important role to give relations a stability ohhhhhhhhh!!

Kweli kabisa Pretty. Kwa mfano mkiwa na pesa (siyo lazima ziwe nyiiiingi hivyo, pesa tu za kutosha mahitaji yenu muhimu na ya ziada) mnaweza kwenda vacation kwenye cruise ship. Mkaenda popote kule mnakotaka. Kwa mfano mimi napenda sana kwenda kwenye cruise za visiwa vya Carribean (Dominican Republic, Bahamas, St.Thomas, Negril na Ocho Rios, Jamaica n.k). Mkiwa na pesa mtanunuliana zawadi nzuri mzipendazo. Mkiwa na pesa karaha ndogo ndogo kama kuhofia sijui mtakuwa na hela ya kutosha kulipa bill hii au ile inakuwa hakuna.

Kwa hiyo utaona kuwa pesa ni mhimili muhimu sana wa mapenzi ingawa haina maana ya kwamba mambo mengine nayo si muhimu. Mimi nachukulia mapenzi kuwa kama ni mfumo flani unaojumuisha mambo mengi/kadhaa ili ufanye kazi vizuri. Mapenzi bila "sex" ya kuridhisha yatalegalega na kuweza kupelekea uhusiano kuvunjika. "Sex" inaweza kuwa nzuri lakini uhaba wa fedha ukasababisha maisha kuwa magumu na huo ukawa mwanzo wa karaha nyingine. Mapenzi bila heshima (kuheshimiana) hayatadumu. Mapenzi bila kuaminiana hayatakuwa mapenzi tena. Kama mmoja wenu au wote hamuaminiani kunaweza kukawa chanzo cha mfarakano. Heshima na imani huleta amani. Na bila amani ya moyo na mawazo basi hapo penzi ni kwishnehi.

Ndiyo maana nasema mapenzi ni kama mfumo!!!
 
Mkuu umepiga summary ya nguvu!

Pesa inafanya kitu muhimu sana ambacho watu wengi labda huwa hawajui. Hapa naongelea pesa za kawaida siyo zile zinazosababisha msongo wa mawazo (na hasa hasa zile za biashara za majini, ujambazi, ufisadi ni mechezo mingine ya kishetani). Pesa inampatia mtu nafasi ya kuwa na akili iliyotulia (relaxed mind) ambayo ndiyo muhimili kwa kila kitu... upendo, ngono, amani na utulivu. Kwa hiyo mimi naamini pesa (za kawaida na ambazo si chafu) ni muhimu sana katika maisha na hasa hasa mahusiano ya kimapenzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom