Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Wataalamu naomba kufahamishwa namna ya kubadili 32bit kwenda 64bit kwenye laptop yangu.
Asanteni.
Asanteni.
Na uki install Window 8 mara mbili unapata window 16!
Instal 32bit x2 utapata 64bit 🙂 Nelson Richard amekujibu poa
Hapo itakuwa sawa sawa na kuweka tairi za scania kwenye VITZ. Hapo issue ipo kwenye processor. Kuna zilizotengenezwa kuwa ni 32 na zingine ni 64.Kama unaweza kubadili processor na kuweka ya 64 bit zitaendana vizuri na hiyo OS ya 64 ijapokuwa nayo inaweza kuwa na mautata mengine kwenye motherboard . Tofauti na hapo mkuu kama una program inayohitaji kompyuta ya 64 bit haitakubali kwa kuweka os ya 64. Nakushauri ingia garama ununue komputa yenye specification sawa na program unayotaka kuiweka.Instal 32bit x2 utapata 64bit 🙂 Nelson Richard amekujibu poa
Zipo Operating system 32bit na 64 bit so tafuta OS ya 64bit u install.
Wataalamu naomba kufahamishwa namna ya kubadili 32bit kwenda 64bit kwenye laptop yangu.
Asanteni.
upgrade ram