Malizia sentensi hii....Naona kama haijakamilika vile.Niwe makini na watu gani? ninaoendana nao kitabia?( wamaanisha kuwa wanaweza kuwa mbwamwitu wenye ngozi ya kondoo?)
Umenena.Charity,
Mosi, Hizo tabia ulizozitaja habo juu haziwezi kubadilishwa na simply "your wife to be". Zinahitaji zaidi ya "ahadi ya kuacha"
Pili, Hakuna mwanamke whatsoever mwenye uwezo wa kubadili tabia "mbaya" za mwanaume.
Tatu, huwezi kubadilisha tabia ya mwanaume!
That is theory ..Boys will be boys always ...... Never change. Women have this illusion that they will change their boys, they end in frustrations.
Girls will always be girls .... Always changing. Men have the illusion that his woman will always be the same, they end in frustrations. The first year in wedlock and you are completely living with a different woman ... For ever!!
It is women who change for good or for worse, but men are the same
AMEN,Hicho kwenye red ndicho kinatia nguvu .Lakni yataka moyo.
Ushaur mzur nna jamaa yang anatabia nying czpend anasema eti anioe then nimbadlishe taratbu kwenye ndoa kitu ambacho naona hakiwezekan1.kwenye ndoa si mahala pa kubadili tabia za msingi labda mchumba awe below 20 yrs
2.tabia ndogo ndogo zaweza badilishwa,kama kuwa msafi...unaweza mbadili.
3.zile tabia zake mbaya,idadi yake zidisha kwa mbili ndizo jumla ya tabia zake zote usizozitaka......nina maana zipo tabia zingine mbaya kabisa hutazijua kamwe hadi uolewe.....usitishike ni mambo ya kawaida.huyo jamaa yako sie yeye wa baadae.
4.hakuna mtu anaeoa/kuolewa na malaika, kila mtu ana kasoro nyingi tu ,hata wewe unazokasoro zako dawa nikuvumiliana
5.akikupenda sana sana,i mean sana...yaani kuzidi maelezo(na sijui utafanyaje hadi awe hivyo)basi aweza kuwa vile upendavyo kwa muda....penzi likichuja anarudia tabia yake ya awali.
6.kwenye uchumba kila mtu ni kondoo,mpole mwema,anajali....kila utakachomweleza ni ndio,yaani hapo nidhamu ni mia.baada ya ndoa nidhamu ni sifuri........
Inapungua hadi siku itafika sifuri.
Hata hivyo usijali sana....ni mawazo yangu tu. Mng'ang'anie sana huyo jamaa hadi kieleweke....si unajua tena?achana na mambo ya kumpekua pekua kuku,utashindwa kumla.