Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
Tall bana hapo kwenye red umenifurahisha sana1.kwenye ndoa si mahala pa kubadili tabia za msingi labda mchumba awe below 20 yrs
2.tabia ndogo ndogo zaweza badilishwa,kama kuwa msafi...unaweza mbadili.
3.zile tabia zake mbaya,idadi yake zidisha kwa mbili ndizo jumla ya tabia zake zote usizozitaka......nina maana zipo tabia zingine mbaya kabisa hutazijua kamwe hadi uolewe.....usitishike ni mambo ya kawaida.huyo jamaa yako sie yeye wa baadae.
4.hakuna mtu anaeoa/kuolewa na malaika, kila mtu ana kasoro nyingi tu ,hata wewe unazokasoro zako dawa nikuvumiliana
5.akikupenda sana sana,i mean sana...yaani kuzidi maelezo(na sijui utafanyaje hadi awe hivyo)basi aweza kuwa vile upendavyo kwa muda....penzi likichuja anarudia tabia yake ya awali.
6.kwenye uchumba kila mtu ni kondoo,mpole mwema,anajali....kila utakachomweleza ni ndio,yaani hapo nidhamu ni mia.baada ya ndoa nidhamu ni sifuri........
Inapungua hadi siku itafika sifuri.
Hata hivyo usijali sana....ni mawazo yangu tu. Mng'ang'anie sana huyo jamaa hadi kieleweke....si unajua tena?achana na mambo ya kumpekua pekua kuku,utashindwa kumla.
Kumbe kichwani mwako kuna vitu adimu sana.....Nimeipenda sana hii. Btw sorry jana nilikukwaza...mnh labda kwa maombi...
...i dont beleive i can change, a fully grown up man!
kwakweli kumbadilisha huwezi labda tabia ndogo ndogo kama vile uchafu akawa msafi na smart lkn hayo mengine mmmh! ni maombi tu!Hebu niambieni akina mama/dada wenzangu.Pengine nina rafiki nataka kupeleka mahusiano katika hatua nyingine labda ndoa tuseme.Na huyu mlengwa pengine ana tabia fulani au tuseme mazingira fulani ambayo nisingependa awe nayo katika hiyo level nyingine.
Kwa mfano ni mwizi/jambazi,mlevi,Fukara(hana hela wala kazi-naweza kusema ni mvivu) na mambo kama hayo.
Na pengine nishamwambia kuwa sipendi 1,2,3......ya hizo tabia na akaahidi kuwa atabadilika.
Vilevile katika interraction mbali x2 na marafiki hasa wanaume mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wakisema kuwa MWANAMKE anauwezo mkubwa wa kumbadilisha na kumtengeneza mwanaume katika mahusiano the way anataka awe.
Sasa swali langu ni kuwa Is this true?
Wakina kaka pia mnaweza kuniambia eti mnaweza kubadilishwa na wanawake mkawa waume wema wenye kuonyesha mfano mwema?
Chrispin naomba usiingie kwenye hii thread inakuhusu
kuna dalili za kula ''PILAU'' na kwenda S/WANGA any time from now!.................
Teamo,Js.Mpwa ndo nasikilizia hapa mwanawani dalili za mvua mawingu aisee
Pamoja na ushauri/comments nyingi nzuri zilizotolewa ningependa kwanza kueleza kuwa kitendo cha kugundua na kumjua huyo mpenzi wako TABIA yake ni hatua kubwa. Wengine wakishapenda, HAWAONI, HAWASIKII WALA KUAMBILIKA - nakupa HONGERA.
Kuna TABIA NYINGINI NI SUGU - zinaambatana na mtu kuwa addicted/kufungwa/malezi - hizi Charity inabidi kuomba msaada wa Mungu - si unajua?? anaweza kubadilisha Jambazi likawa Mwinjilisti; Mwizi akaacha WIZI na kuwa mtu mwema tu - Kahaba akawa mama mzuri wa nyumbani etc. Mchawi akawa Mtumishi wa Mungu mzuri tu - Mungu ana nguvu za ajabu - ukimshirikisha ana uwezo wa Kubadilisha
Pia kuna tabia ambazo sio sugu - labda mpenzi wako hana ufahamu wa kuendesha maisha - unaweza kumbadilisha kwa kumfanyia counselling (ushauri nasaha); kumpatia mtaji etc. Labda ni mchafu - pia counselling na kumfundisha usafi etc. so WEWE unaweza ukahusika kumbadilisha ila sehemu kubwa ukimshirikisha Mungu - YOTE YANAWEZEKANA - NOTHING IS IMPOSSIBLE WITH GOD
Ila UWE NA MSIMAMO SANA WEWE MWENYEWE - NA UAMUE HATA KAMA KUTAKUWA NA SET-BACKS - UKAZANE HADI MWISHO -
NI VIZURI UKAFANYA HIVYO KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA - NA WEKA MITIHANI UHAKIKISHE KUWA KWELI AMEBADILIKA - KWANI WALIVYOSEMA WENGINE ANAWEZA KUFICHA MAKUCHA UKADHANI TAYARI KABADILIKA KUMBE SIO
May the Spirit of God Guide you
Sijakupata, hebu rudia.Mwanaume yeyote anaweza kubadilishwa na mkewe, lakini sio kila mwanaume anaweza kubadilishwa. Actually mabadiliko makubwa yanatokea katika stage ya uchumba, kama huku imeshindikana, sahau kwenye ndoa...
lakini kama lijamaa ni -Rijambazi.......ripereke porisi ritabadirika tu!!Teamo,Js.
Only God can make us eat PILAU.Kuanzia leo muanze maombi,si mmeona ushauri wa watu?
lakini kama lijamaa ni -Rijambazi.......ripereke porisi ritabadirika tu!!
1) Mwanaume habadilishwi kwenye tabia za namna unazoeleza
2) mwnaume unaweza kumbadilisha vitu amabvyo kimsingi....sio tabia, kama sehemu anazopenda kwenda, nguo anazovaa, aiana ya marafiki (japo hili nalo gumu), mtazamo katika maisha n.k
mwaaaaaa!!!! hakika wewe ni mwelewa sana TheodoraJust like the rain cannot wash away the spots on a leopard, you cannot change a man. I believe in miracles, but changing a man is not one of them. I came to learn acknowledging that a man u cannot change is not being pessimistic but realistic...