99% people get scared when a text reads
"can i ask you a question?"
Hahaha. Huyo ni shosti Preta
nilipokuuliza moyo ulidunda enhe? huyo sio Preta!huyo anaonekana kabisa ni janadume limejikobeka mipoda na miwanja!
Duh ww Chizenga ni noma...halafu hakuna mwana jf yoyote aliyeshtukia hiyo picha except you !!
unaoneka una kipaji cha utaalam ..... Umeona hiyo avatar sura limekubuhu
Hahaha mara nyingi nikiwachunza wana jf , ww unashtukia.....mimi nina kipaji cha kung'amua mbivu na mbichi!lol!halafu kazidisha kujiremba mpaka anataka kufanana na lile katuni la kichina nyani shifon!haaaa!haaaa!haaaa