Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,321
- 37,093
Average IQ ya common man kwenye DARK CONTINENT NI MBUSUSU/ PAPUCHIIIwe mzee ebu achana na papuchi kwanza
HAPO ULIPO ZITAVUTE ZINYONYE ZILAMBE MPAKA ZI SQUITEEE
Average IQ ya common man kwenye DARK CONTINENT NI MBUSUSU/ PAPUCHIIIwe mzee ebu achana na papuchi kwanza
Mipaka ya kwenye chips inatoka wapi au ni ipi? Kwa sababu huwa tunasema kwamba "weka kila kitu".Sioni hivyo,
Kwasababu watu wa dini husema Mungu ni muweza yote, hana mipaka.
Chipsi zina mipaka.
Mungu mweza yote hana mipaka.
Sasa huoni kama unachanganya tafsiri kati ya vitu vyenye mipaka na vitu visivyo na mipaka?
Mpaka najiuliza kwanini hujibu swali langu ?Huwezi ukawa mzima. Mtu akikwambia hajala inatakiwa athibitishe?????
Nani amekwambia kwamba hakuna ushahidi juu ya uwepo wa Mungu ? Lakini kusokana kwa ushahidi ni kuonyesha ushahidi haupo ? Hili linawezekana vipi ? Je kama wahusika hawajui ushahidi ni nini, unawaweka kwenye kundi gani ? Au kama hawajauona huo ushahidi ?Kukosekana kwa ushahidi wa chakula ni kielelezo wazi kua chakula hakikuwepo.
Hapa unaonyesha ya kuwa hii mada imekuzidi uwezo, unaletwa hisia na mihemko sehemu ambayo inahitaji hoja na ubainifu.Hata hivo Wewe na wazungu wenu mlotuletea huo upuuzi wa vitabu vya ajabu ndo mtuthibitishie. Huwezi ukaniletea kitu kipya kwangu alafu ukataka nikufundishe matumizi yake.. Ni ukosefu wa akili.
Sio tufanye Bali wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri. Hili huwezi kulipinga mpaka unalifa.Dahhh... Ok tufanye ninauwezo mdogo wa kufikiri, lakin kama umeweza kutuma hyo coment yako bila kujali ulivoborongo point namba 3,,, unatatizo kubwa kuliko mimi
Hivi unamuongelea mungu aloletwa na watu waliokufanya mtumwa na hawakupendi siku zote!!! Vile mtu mweupe asivopenda kukaa karibu na mtu mweusi bila maslai makubwa, asinge kuletea habari za uzima wa milele mkaishi wote peponi.. Amka kitandani usingizini, umeanza kujamba jamba, soon utajinyea.
Huko ni kupiga kalele na kujaza uzi bila sababu, unataka kututambulisha baba yako alaf unatuuliza yupo wapi.? mlete baba yako hapa, mtambulishe tumalize mzozo.. unazunguuuuuuuuuuuka.Mpaka najiuliza kwanini hujibu swali langu ?
Suala la chakula na suala la uwepo wa Mungu ni vitu viwili kando kabisa.
Nani amekwambia kwamba hakuna ushahidi juu ya uwepo wa Mungu ? Lakini kusokana kwa ushahidi ni kuonyesha ushahidi haupo ? Hili linawezekana vipi ? Je kama wahusika hawajui ushahidi ni nini, unawaweka kwenye kundi gani ? Au kama hawajauona huo ushahidi ?
Hapa unaonyesha ya kuwa hii mada imekuzidi uwezo, unaletwa hisia na mihemko sehemu ambayo inahitaji hoja na ubainifu.
Anae kanusha ndio anatakiwa alete ushahidi sababu yeye tunamdhania ya kuwa ni mjuzi zaidi juu ya jambo husika.
Kiranga say something on this.The word POWERFUL itself is very subjective.
It's meanings depends on the context of the subject.
It is possible to create something powerful than the creator depending on the type of power.
A human can create a powerful machine such as bulldozer in the context of land tilling or excavation. Can create a heavy hauling truck which is more powerful than a human.
A human can create a powerful computing machine which is more powerful than his computing ability.
It looks like Lucifer has more convincing power than God, because he has managed to lure humans to disobey their creator (God). This is for believers of Judaism, Christianity and Islamic (Muslim).
The question is paradoxical indeed.
Unless we solve all points of paradoxes, we can not answer this question correctly.
First point of paradox is God's existence, and the second is his omnipotence.
Let's deal with all sorts of paradoxes first.
Forgive my poor English.
Saguda47 registered JF
Chipsi zina mipaka kwa sababu ni maada.Mipaka ya kwenye chips inatoka wapi au ni ipi? Kwa sababu huwa tunasema kwamba "weka kila kitu".
Sasa kwanini hiyo kila kitu hatufikirii hata michanga?
Ni wewe ndio umeshindwa kutumia logic kwa sababu huyo Mungu sifa zake zimeelezwa, sasa huko kukosa mipaka hakuwezi kuwa na maana ya kuji contradict yeye mwenyewe.Chipsi zina mipaka kwa sababu ni maada.
Maada yoyote lazima iwe na mipaka yake, Mfano: ukimwagia mikojo kwenye chips, hazifai tena kuliwa, hiyo ni taka isiyofaa ndani ya mwili na ikiliwa inaweza kuleta madhara.
Mipaka lazima izingatiwe kwenye ulaji.
Je, mchanga?
Hata ukienda kwa jamaa yako akakuuliza unakula nini, ukajibu "Anything", akakuwekea mavi lazima uchukie, cause binadamu tunafungwa na mipaka ya kanuni za maadili pia, hivyo kitendo cha kuambiwa kula mavi sababu umeomba chochote si cha kiungwana hata kidogo.
Tatizo ni pale ukilinganisha vitu vyenye mipaka na mhusika anayedaiwa kuviunda.
Mungu anayedaiwa hana mipaka siyo maada, hapimiki, hajaribiwi kisayansi, wala hana data yeyote.
Kama kuna data yeyote kumhusu, ilete ili tupime mipaka yake.
Lasihivyo dai la kusema Mungu hana mipaka linabakia kuwa imani tu, si logic.
Kwanini hujibu swali nililo kuuliza ?Huko ni kupiga kalele na kujaza uzi bila sababu, unataka kututambulisha baba yako alaf unatuuliza yupo wapi.? mlete baba yako hapa, mtambulishe tumalize mzozo.. unazunguuuuuuuuuuuka.
Ni wewe ndio umeshindwa kutumia logic kwa sababu huyo Mungu sifa zake zimeelezwa, sasa huko kukosa mipaka hakuwezi kuwa na maana ya kuji contradict yeye mwenyewe.
Sijabadilisha topic ndio maana mwanzo nikasema utumie logic kwenye kujadili hilo suala la Mungu kutokuwa na mipaka maana bila ya hivyo tutaenda kwenye contradiction.Tunajadili kuhusu mipaka ya huyo Mungu, hatujafika huko kwenye contradictions.
Rudi kwenye mada husika lasi hivyo utaendelea na mtindo wa kubadilisha topics untill infinity.
Sijabadilisha topic ndio maana mwanzo nikasema utumie logic kwenye kujadili hilo suala la Mungu kutokuwa na mipaka maana bila ya hivyo tutaenda kwenye contradiction.
seriously I have no energy to waste here.Ukishasema sababu bhasi lazima isababishwe.
How atheists think Christianity startedseriously I have no energy to waste here.
you sound like this
"Ukishasema moja basi lazima mbili"
"Ukishasema nyeupe basi lazima nyeusi"
"Ukishasema gari basi lazima ndege"
You can just spit whatever comes to your mind
If you were truly well versed in logic, you wouldn't have made such a thoughtless remark: sababu lazima isababishwe!Hakuna hoja hapo zaidi ya False Equivalencies.
Kama huelewi utofauti kati ya logic na hiyo mifano yako inayojichanganya yenyewe, hilo ni tatizo lako, siyo langu.