Can God create something more powerfull than him?

Can God create something more powerfull than him?

God is the foundation of existence.

He's All Powerful in relation to his creation, because everything existing (space, time, matter) depends on him to exist, so everything is naturally less powerful.

So you can't ask if GOD can create something more powerful:
It's like asking can water make itself wet?
Can fire burn itself?
Can light illuminate itself?

The reason we have the concept of power is because we relate ourself to him. If he didn't exist, nothing would exist, hence the concept of power wouldn't exist.

You gerrit?

So can GOD create something more powerful? The answer is you're asking the wrong question.
 
Kwani wewe unajua kama yupo au hayupo mkuu?
Jibu kwanza swali langu kisha nikujibu swali lako.

Ila kwa dondoo ni kuwa hakuna kitu chepesi kuthibitisha uwepo wake kama uwepo wa Mungu muumba. Ukiona unadai ya kuwa Mungu hayupo, wewe upo kwenye Moja ya makundi haya au yote.

1. Una uwezo mdogo sana wa kufikiri au hufikirii kabisa bali unafikiria kitoto.
2. Umeathiriwa na falsafa za kiyunani pasi na kuhoji na kufanya utafiti.
3. Umeathiriwa na wanasayandi wakana Mungu pasi na kuhoji wala kufanya utafiti.
4. Hujitengi peke yako ukawaza juu ya uwepo wa ulimwengu na vilivyomo.
 
God is the foundation of existence.

He's All Powerful in relation to his creation, because everything existing (space, time, matter) depends on him to exist, so everything is naturally less powerful.

So you can't ask if GOD can create something more powerful:
It's like asking can water make itself wet?
Can fire burn itself?
Can light illuminate itself?

The reason we have the concept of power is because we relate ourself to him. If he didn't exist, nothing would exist, hence the concept of power wouldn't exist.

You gerrit?

So can GOD create something more powerful? The answer is you're asking the wrong question.
Your equation is contrary prior to the premise of the paradoxical question asked.

The concern is; can we question or doubt on God's power? The equation depends on someone's belief not a universal parameter.
 
Ni Kama vile unaliza, Je Binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu, anaweza kutengeneza computer itayomzidi akili na maarifa? Ni lazina atengeneze kitu anachoweza Kuki- control na kukimudu. Ya nini utengeze kitu, kije kikuzidi maarifa Halafu kikuletee changamoto ? Of course anaweza akitaka, Ila logic haaingii akilini kwamba mtu au Mungu atengeneze kitu ili kije kimzidi maarifa hapo baadae. Haya maarifa kitayatoa wapi bila kuwa programmed ni Muumba mwenyewe? Labda awe amelewa chakari huko mbinguni hakafu aanze kugawa codes zake bure na au aanze kutengeneza kitu kipya ilu kimuletea Shida Siku za mbeleni.
Swali lako ni academic zaidi bila uhalisia- Nadharia tu Kama zile za if A= B na B = C , basi A =D.
 
hakuna kiumbe chochote duniani na hata mbinguni chenye nguvu kushinda MUNGU muumbaji wa vyote.Mfalmw wa wafalme.
Hii dhana ya kusema shetani ana nguvu kuliko Mungu si sahihi.ila ni kinyume chake.

Hata binadamu tu aliyeumbwa kwa udongo ana nguvu kushinda shetani na wafuasi wake majini,wachawi waganga wa kienyeji,mizimu,mapepo.

SHEATANI ana nguvu juu ya binadamu wasio na Yesu ambao hawajajua nguvu zao,mamlaka yao walizopewa na Mungu ,amri na mamlaka na uwezo walizonazo juu ya shetani.
Watoto wa Mungu walokole wanaomuabudu Mungu katika Roho na kweli na kumtii Mungu ,watakatifu waliojitenga mbali na utumwa wa dhambi,wanaoishi maisha ya kumoendeza Mungu waliomkiri na kumuamini Yesu wanaosali na kuomba na kufunga ,na kutoa sadaka na kutenda maoenzi ya Mungu waliopata neema ya Yesu...wakiomba kwa kutumia jina la Yesu ..Shetani anaungua moto ...wanapomtii Mungu na kumpinga shetani nahe shetani anawakimbia.

shetani ana nguvu juu ya watu wasio ja Yesu ,wasio ja maarifa ya na elimu ya Mungu wa kweli huyu YESU,wasiojua kuwa binadamu wote wamepewa nguvu na mamlaka juu ya nguvu zote za giza,kumkanyaga wamekombolewa na kununuliwa kwa gharama ya damu ya YESU..wao tu binadamu yeyote akimuomba Yesu kwa kumaanisha kuacha dhambi na kumtii Yesu ,na kumuhitaji YESU awasaidie wanakuwa na NGUVU kumshinda shetani na kuzimu na majini na wachawi na waganga wa kienyeji.

sema tu binadamu wanakosa maarifa ya elimu ya Mungu ndio wanao fikiri kuwa shetani ana nguvu kuliko wao na ni kweli wanavyofikiri kwa sababu aonavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo,ukifikiri na kuamini kuwa shetani ana nguvu kuliko wewe ndivyo itakavtokuwa kwako.

KWANGU MIMI SHETANI hana nguvu ,nina mjua aliye ndani yangu ninaye muamini ambaye ndiye nguvu zangu..ni mkubwa kuliko vyote,ni mwenye nguvu ,uwezo na mamlaka,mfalme wa wafalme ,simba wa Yuda ,moto ulao.

sheatani mwenyewe anakimbia na kuungua na kupiga mayowe na kulia kwa kupiga ukunga ,kuzimu inapasuka na kutetemeka radi na moto zinawaunguza madhabahu za kuzimu na vilinge vinapasuka na matetemeko makali..pale jina la YESU TU LINAPOTAKWA TAJWA...YESU NI KIBOKO YAO..
 
mafremansory waabudu shetani,wachawi na waganga wa kienyeji ndio huwa wanaamini kuwa shetani ni mungu wao na huwa wanaamini wakijidanganya kuwa ana nguvu kuliko MUNGU ,wajaribu kucheza na walokole wa kweli wenye YESU kweli waone moto wake..jina la Yesu no MOTO ULAO.
 
yani MUNGU atengeneze kakiumbe chake halafu kawe na nguvu kiliko yeye,hata shetani alivoleta nywi nywi nywi kule mbinguni .Mungu alimuinua malaika MIKEL/MICHAEL ndiye yeye malaika aliyemfurumusha shetani mbinguni akamtupa kutoka mbingunii mpaka chini sehemu ya chini kabisa kuzimu
.na hata malaika MIKAEL hakupigana alishuka kutoka juu zaidi aliponyanyuliwa na Mungu akiwa amejazwa nguvu na Mungu,ile anatua tu pale alipokuwa lucifer/shetani ile nguvu aliyovikwa na Mungu ikamuangusha lucifer na 1/3 ya malaika zake waasi mpaka chini kabisa kuzimu.

sasa kizazi chetu sisi tuna nguvu ya jina la YESU hili jina la Yesu tu likitamkwa na binadamu yeyote lina nguvu ya kumuunguza moto shetani na majini ,machawi ,maganga ya kienyeji,mapepo yakaanza kupiga ukunga ..
MUNGU huwa hashindani na kiumbe alichokiumba ni out of league ,

kinyago ukichonge mwenyewe halafu kikutishe.

huwezi kumlinganisha shetani au kiumbe chochote na Mungu,hakuna wa kulinganisha na Mungu wala wa kufanana naye.
 
Back
Top Bottom