Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 15,096
- 8,892
Ndio maana nikasema kama haileti contradiction.hhaahah ukisema ivo means atakuepo mtu mkubwa zaidi yake
Ndio maana nikasema kama haileti contradiction.hhaahah ukisema ivo means atakuepo mtu mkubwa zaidi yake
Huwezi ukawa mzima. Mtu akikwambia hajala inatakiwa athibitishe?????Bado hujajibu swali, sababu ulichokiandika pia kinahitaji ushahidi.
Jaribu kujibu swali nililo kuuliza.
Dahhh... Ok tufanye ninauwezo mdogo wa kufikiri, lakin kama umeweza kutuma hyo coment yako bila kujali ulivoborongo point namba 3,,, unatatizo kubwa kuliko mimiJibu kwanza swali langu kisha nikujibu swali lako.
Ila kwa dondoo ni kuwa hakuna kitu chepesi kuthibitisha uwepo wake kama uwepo wa Mungu muumba. Ukiona unadai ya kuwa Mungu hayupo, wewe upo kwenye Moja ya makundi haya au yote.
1. Una uwezo mdogo sana wa kufikiri au hufikirii kabisa bali unafikiria kitoto.
2. Umeathiriwa na falsafa za kiyunani pasi na kuhoji na kufanya utafiti.
3. Umeathiriwa na wanasayandi wakana Mungu pasi na kuhoji wala kufanya utafiti.
4. Hujitengi peke yako ukawaza juu ya uwepo wa ulimwengu na vilivyomo.
Nimejibu kuwa kama Mungu kufanya hivyo kunafanya uonekane uwezo wake basi ndio anaweza.sasa apo ndo swali jamaa kaulizwa, ungejibu vp upande wako?
katika movie ya devil kingdom, kuna kipande kanumba aliulizwa
"can your God create something more powerful than him"
View: https://youtu.be/O3F1KXlrfWI?t=657
Hili swali ni zito, wana jamvi karibuni tujadili
amna aliekataa hilo, swali ni kwenye hizo nguvu kuna uwezekano wa kufanya hiki?Mungu hapimwi uwezo wake kwa mawazo ya kibinadamu.
Mungu uwezo wake na nguvu zake ziko juu ya mambo yote yaani hakuna kiumbe chochote chenye uwezo wa kumfikia kimamlaka na uwezo.
Mungu ni muweza wa yote sababu yeye ndio chanzo cha vitu vyote vyenye nguvu na mamlaka unavyosikia wewe na usivyosikia wewe.
Huyo shetani umetambulishwa na Mungu. Pasipo Mungu wewe usingemjua Shetani.amna aliekataa hilo, swali ni kwenye hizo nguvu kuna uwezekano wa kufanya hiki?
Ni kwa sababu msingi wa hilo swali haujafahamika ni upi?sasa wewe unatoa jibu kwa kukaa kati kati ya mstari, apo unaweza sema ndio ama hapana alafu na maelezo kidogo
sasa mkuu hilo swali mm nmelitoa kwenye hio movie ila nmeona nliulize public, hivo tuseme ni wewe umekutana na hili swali, kwa unavojua Nguvu ya Mungu utajibu vp hilo swali, tuseme ndo limekuangukia mda huu ebu tupe jibu kwa unavojua kuhusu MunguNi kwa sababu msingi wa hilo swali haujafahamika ni upi?
YupoMungu hayupo.
No he is wiseso he is weak?
Mzee wa fallacyMcheki Clemence Mwandambo au Kiranga kama ajiitavyo hapa jf akupe majibu.
Isaiah 45:9 in the King James Version (KJV):Shetani huonekana ana nguvu sana ukiangalia jinsi anavyozungumziwa hapa ulimwenguni na shetani ndio huonekana anashindana na Mungu, lakini pia shetani huyo huyo kaumbwa na Mungu.