Can a single mother teach her son how to be a man?

A lot of good men out there were raised by single moms.

Kua mwanaume bora kwa mwanamke wako hakutokani na malezi ya baba na mama tu, kuna sababu nyingi.

Unaweza kulelewa na mama peke yake au baba peke yake au wote baba na mama na ukawa mwanaume bora au kinyume chake pia ni sahihi.
 
Hapana kwa kweli. Siku hizi kuna vijana mashoga wengi ukichunguza utakuta wametola single mom
 
Si mara moja naskia watoto wa kiume au wa kike wanakashfiwa.... nyie watoto mliolelewa na mama mnashida.

Ila nimekua na watoto wa aina hiyo mbona wapo poa.
 
Si mara moja naskia watoto wa kiume au wa kike wanakashfiwa.... nyie watoto mliolelewa na mama mnashida.

Ila nimekua na watoto wa aina hiyo mbona wapo poa.
Anaweza kuwa okey ila angalia ni kwa asilimia ngapi watoto ho wanakua na shida kati ya 10 ni wangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…