Can a nation import development? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can a nation import development?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 23, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Just think for a second; Mojawapo ya lawama kubwa dhidi ya uongozi wa Nyerere ni kuwa hatukuwa na TVs, magari bwelele n.k n.k kwamba kulikuwa na uhaba wa vitu vingi.

  Alipokuja Mwinyi na sera ya Ruksa basi vitu vikaanza kujazana maduka yakafurika na mitumba ikaruhusiwa kwa kasi kubwa na kusababisha Urafiki, Mwatex, Mutex n.k kukosa soko. Tukawa tunaingiza vitu vingi vya kigeni na kuvifurahia.

  Na hata alipokuja Mkapa ndiyo ikawa zaidi kabisa tukafika mahali ya kuuza kama njugu mali zetu na kutafuta "wawekezaji" katika ile sera maarufu ya "ubinafsishaji" a.k.a "ujinasfishaji". Tukafika mahali hadi mazuria, samani, madirisha na mapambo ya ofisi zetu tukawa tunaagiza toka nje huku tukijivunia ni kutoka "Oman" (Al-Adawi ana kampuni kubwa ya mambo haya) na wengine tukiagiza vitu toka China.

  Katika mwelekeo huo tumefikia mahali mjasiriamali wa Bongo akitaka kutengeneza clothline lazima ale mitkasi na watu wa China;

  katika kufanya hivyo, tumefikia mahali tunaita tunachokiona kuwa ni "maendeleo"!

  Sasa, swali langu which is a little bit political as well as philosophical ni kuwa nchi inaweza kuendelea kwa kuimport vitu kutoka nje na kuviita maendeleo? Je, endapo kwa mfano, hali inakuwa ngumu huko kwa wajomba, computer haziji, samani hazitengenezwi kwa kiasi cha kutosha, vyuma chakavu havinunuliwi, n.k n.k JE, Tanzania inaweza kujitegemea kuzalisha vitu vya maendeleo?

  Tunapofikia kuwa hata masoko yetu ya kifahari yanaagiza hadi vitunguu kutoka nje, nyanya na mbogamboga toka nje, na sisi tunafurahia kwa sababu tunavyo vya kizungu au vya kisasa tunaweza kuita haya ni maendeleo?

  Ni vifaa gani vya kompyuta tunavyozalisha wenyewe kama vipuri? Ni vifaa vya kiasi gani vya mashine mbalimbali tunavyozalisha wenyewe?

  Ni kwa kiasi gani (kiasilimia) tuweze kufika mahali tunasema kuwa tunajitegemea kwa kiasi kikubwa?

  Je maendeleo ni maendeleo kama yanategemea kuendelea kwa watu wengine!?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Development is a result of ingenuity. You either have it or you don't. If you don't you can't import it from elsewhere. If you think you can import it, you are deluding yourself and you will end up with 'imitation' development and not real development.

  Kuna siku nilikenda Krogers..kwenye Deli lao...nikaona wanauza crab salad kwa bei poa sana. Nikasema woooow! Crab salad for less than 3 bucks...this is a good deal. Nikakigeuza hicho ki container kusoma Nutrition Facts na ingredients....kwenye ingredients nikaona 'imitation crab meat'...so I was like what eff is imitation crab meat....nikakirudisha ki container nikaondoka zangu kwenda Quiznos...
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  you ruined your appetite.. usingekigeuza. And you ruined mine kwa sababu I don't geuza the thing.. inasema crab meat, looks like crab meat.. I eat like crab meat! Well until now.

  Ila ndiyo ujanja mtu kaona watu wanapenda taste ya hiyo akaamua kutengeneza mfano wake.. !
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hapana! Huko ni kuwa tegemezi na mtu tegemezi kamwe hataweza kufika popote kama yule anayemtegemea atamtosa.

  Maendeleo yanaanzia na kuwa na misingi ya maendeleo i.e. elimu, afya, amani, viwanda, n.k.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  sasa ni kwa kiasi gani katika mambo hayo Tanzania inajitegemea na hivyo kuweka msingi wa maendeleo?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Apr 23, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Ni kwa kiasi kidogo sana! Wewe fikiria hata bajeti yetu yenyewe ni tegemezi...tunategemea hela za wahisani katika sekta nyingi sana. Hatuna misingi imara ya maendeleo...
   
 7. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Development can never be bought or imported! Of course different skills can be learned from different interactions, and indeed certain knowledge can be imported, however, they must be supported by local resources - human labour, natural resources, and human welfare.

  Now, if we ask ourself what is development? There is no universal answer to search question, especially for those who are faced with denial of realities. So, to cover their souls they might divide development into parts - economic growth, freedom, technology, human capital - and run away to draw logic of how these different parties affect one another.

  Nyerere at least tried! His conception of development was people centered approach, looking into basic needs to assure human development to achieve economic development. He believed development is organic rather than mechanical, how much of his belief was in his actual policies that is a total different question.

  The current development thinking is patched development, where some where in 1990's our leaders thought you could separate between human capital, tools of development and economic growth and adopt nations of freedom of individuals and free market without responsibility. Those concept are important in creating conducive environment for development, but they can never bring development if the receiver have not strategies how the freedom is going to contribute to development. In result, the nation became a receiver of other forms of development, of which they don't have control with.
   
 8. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I don't think i can have problem of capital, of course i will look into its conditions to make sure i am not in debt slave. To me the problem is not foreign aid to our budget, rather is how do we use that foreign aid. I understand foreign aid have conditions attached, however, there is a lot of misuse of aid, which keep us in the pit! of course we are going back to square one, usichokitolea jasho hakikuumi!
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu;

  The answer is definitely no!!!! PERIOD

  And thats what our esteemed politicians think we need to do.... loads of misconception and rubbish

  Tunanunua punda kwa mlio na si kwa kuona --- ABUNUWASI
   
 10. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unajua kunakitu ambacho watu wanasahau! Maendeleo sio ya vitu tu! ila unaposhiriki katika uzalishaji, na kulinda mazingira yako ya uzalishaji, si kwamba unapata uwezo wa kuzalisha tu, ila hata akili yako inapata utambuzi, na nafsi inajiamini - na hapo ndio vichocheo vya maendeleo vinavyokua.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ni kweli na kuna vitu siku hizi tunaambiwa sana kama technology transfer and spill over effects; lakini hata ufanyeje huwezi import kama mfumo wa nchi yetu hauko sawa

  Maendeleo yanaatungwa ndani [kama mimba vile] na rutuba ndio yatoka nje [kama mbolea vile]

  chinese
   
 12. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uchungu wa mwana aujua mzazi, lakini wazazi wote hao wanauelewa tofauti juu ya mtoto! Kunawale wanauchungu wa kuzaa, kuzalisha, kuzalishwa, kutokuzaa, basi inapotekea makanganyiko kama huu msukumo wa maendeleo utakuja tu. Maana kila mtu anakuwa na mchango wake katika kuhudumia hicho kilichozalishwa. Lakini tatizo hata huo uzazi na majukumu yake vimeanza kutupiga chenga!
   
 13. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2009
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,600
  Likes Received: 6,767
  Trophy Points: 280
  What is development?
   
 14. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Development in general is a broad terminology, there is different types of development from economic to social.

  Sasa sijajua unazungumzia economic development au social. Lakini when it come to economic development, there is a lot of ways that Tanzania can empower her own people. However, government shouldn't be a solution for economic development, but the people of such community. Government should develop policies which provides sustainability of private investments, collect tax for social activities.

  I don't think Tanzania will develop through blue chip industries, because we don't have enough resources for that kind of development. I think there are different ways that we can develop our economy depends with our geographic location, resources and human capital. Also,i don't believe that there is a Golden bullet when it come to development. Tanzania need to use different strategies to empower Tanzanian.
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Nafikiri kwa sasa kwasababu ya kukosa vision, hatujawa na desire ya kutafuta maendeleo ya viwanda.Tuna mtazamo bado wa kutafuta mahela mengi kwa kuwa wafanya biashara tukizunguka China, HongKong na Dubai kupata vitu vya kuuza bongo.Ila ukweli bado uko pale pale kwamba maendeleo ya kweli yatapatikana kwa kuanza kuzalisha ndani tukijitahidi kuboresha technologia.Na hawa wasomi tunaowaanda wawe wasimamiza wa ubora wa bidhaa na masoko ndani na nje.Kununua vitu kutoka nje bado sio dawa ya kufanya bongo iwe na maendeleo.South Africa wamepiga hatua kubwa kwenye viwanda. Msumbiji inakuja taratibu. Sisi bado tunajipanga mpaka lini?
   
 16. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  bado ninaamini tuna nafasi nzuri sana ya kujiletea maendeleo pamoja na historia yetu.

  upanukaji wa upatikanaji wa elimu utasaidia sana kujenga tabaka linalopenda kujiajiri, then ubunifu utaongezeka hatimaye maendeleo ya kweli yatakuja..

  kwa sasa bado job seekers ndo rule of employment game vs job creators...

  we need job creators and not job seekers.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nchi yoyote yenye natural resources [primary stakeholders] ina potential ya kuendelea!... Tanzania ni moja wapo
   
 18. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  People [and their knowledge] are number 1 resource for development, everything else comes second. We have people, do they have the right knowlegde?? My answer is no.
   
 19. T

  Tom JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri development can both be bought and imported but you should have the required ingenuity to transform it to your advantage ili kujikomboa na utegemezi.
  Wachina waliweza jenga GREAT WALL, Waroma walijenga GREAT EMPIRES nk, hivyo badala ya kuridhika tu na maendeleo yetu ya kujijengea choo cha shimo vile vile ni vema kununua na kuimport great ideas, cultures and products. Wote tunaweza soma kitabuni gari, choo ama nguo zinatengenezwa vipi lakini kufanya magari, choo bora ama viwanda vya nguo vishamiri kwetu yawezekana ni utundu unaobidi kuununua na kuimport. Tukubali kuwa binadamu toka mataifa mengine wamo katika mazingira ya asili na ya kujitengenezea yanayowafanya wawe bora kuliko sisi ku ktk fani mbali mbali.
   
 20. T

  Tom JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2009
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Very wide but in general development is what we don't or have very low in Tanzania.
  Tunaheshimiana wakati CCM inakula nchi kwa kutuuzia amani na utulivu - ILITAKIWA WOTE TULE NCHI.
  Kuoga vile vile ni development, pia na lugha etc. Lakini kuoga MAJI YA KARAI ni low- TZ asilimia kubwa ni maji ya karai. Development? kukosa infrustructure ni mojawapo nk.
  Economical dev. tupo low zaidi lakini socially tunajitahidi na bila sera za CCM tungekua high zaidi - society yeyote (watu) inaendelea tokana na uongozi bora (watu kati ya watu hao).
   
Loading...