Campaign to lift ban on Tanzania trophies fails

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,044
call.gif

Posted Sunday, June 8 2014 at 10:23

Washington. A United States judge on Friday declined to lift a ban on importing sport-hunted African elephant trophies from Zimbabwe and Tanzania. The decision is a major setback for Tanzania, which has appealed to the US government to drop its stance.

In a 12-page decision, US District Judge Amy Berman Jackson rejected pleas by Safari Club International for a preliminary injunction that would lift the moratorium imposed by the Fish and Wildlife Service. Authorities here say the decision was made in haste.

It comes less than a month after minister for Natural Resources and Tourism Lazaro Nyalandu said there were plans to appeal to the US government to reverse the ban which, he insisted, would be harmful to wildlife conservation in Tanzania. Mr Nyalandu could not be reached for comment on the latest development.

The minister has argued that the ban on the trophies was made in haste. He said the government had started negotiations with the US authorities and he was ready to travel to the US and put his case on the table.

The minister was speaking on the sidelines of a two-day conference on stopping wildlife crime and advancing wildlife conservation that ended yesterday in Dar es Salaam.

In its decision on April 4, 2014, the US Fish and Wildlife Service (USFWS) said the ban had been imposed because elephants in Tanzania and Zimbabwe face an uncertain future. Questionable management practices, poor law enforcement and weak governance have resulted in uncontrolled poaching and catastrophic population declines in Tanzania, said the USFWS.

But Mr Nyalandu argues that the ban will adversely affect wildlife conservation in Tanzania since 65 per cent of conservation funds are derived from tourist hunting. According to the minister, the USFWS made its decision based on the elephant population in the Selous Game Reserve and not the entire country--which paints a totally different picture.

The Fish and Wildlife Service announced the import suspension, lasting through 2014, in early April. Officials cited a "significant decline" in the elephant population and accused Tanzania of questionable management practices, lack of effective law enforcement and weak governance--which has reportedly led to "uncontrolled poaching".

Safari Club sued, claiming the moratorium harmed the recreational, conservationist and economic interests of its members. "The record includes declarations from two hunters who began elephant hunting before April 4, 2014, and shot and killed elephants after that date but could not export trophies such as hides and tusks because of the suspensions," Judge Jackson recounted.

Safari Club further trumpeted claims, according to Judge Jackson, that "other members with hunts planned for later in the year have not yet decided whether or not to cancel their trips."

The judge said this was not sufficient to support a preliminary injunction. "Notwithstanding the ‘great emotional significance' of an elephant trophy," she added, "hunters may still engage in the core recreational activity of hunting. So while the ‘full enjoyment of the hunt' may be diminished, it has not been eliminated," Judge Jackson reasoned, adding that "it is worth noting that a hunter must successfully shoot an elephant in order to garner a trophy worth importing."

The elephant population in the Selous-Mikumi and Ruaha-Rungwa Ecosystems Census Results of 2013 report, launched in Dar es Salaam recently, indicates that only 13,084 elephants are left in the Mikumi-Selous ecosystems. Mr Nyalandu said the USFWS imposed a similar ban on Kenya some years back but, contrary to expectations, elephant poaching surged in that country's national parks. Two months ago, a US-based hunting and conservation organisation with over 30,000 members worldwide went to court to challenge the USFWS.

The group said USFWS issued the ban without consulting the nations affected or the hunters impacted.

Lub says in the lawsuit filed in the District of Columbia that sport hunting employs approximately 3,700 people in Tanzania and supports over 88,000 families.

Furthermore, the group said, the revenue accrued from sport hunting provides local communities with conservation resources and incentives and discourages poaching. "The loss of this revenue could be devastating to elephant survival," said the SCI in the lawsuit made available to The Citizen.

Source;
The Citizen
 
Ndio nchi yetu hii kila siku tunaona mambo chungu nzima ya kushangaza. Subiri Wachina nao waamue kuwa wawindaji wa tembo nchini na walivyo wengi wakishuka mwaka mmoja tu basi watamaliza tembo wote nchini.

This strange country! Tunapiga kelele tembo wanaisha lakini bado tunauza kota za kuwinda tembo! Dah!
 
toka nizaliwe nimeona wanyama wengi ila sijawahi muona tembo. nisaidieni hifadhi ipi nikienda nitawona fasta kabla hawajawa historia.
 
Best, mbona wachina hawajambo kwa biashara hii ya meno ya tembo? Wako magerezani hapo wameweka kituo, wanangojea rehema za wakubwa waendelee na biashara zao. wachina hawabebi sembe, ila meno sio kharamu hata kule kwao
Ndio nchi yetu hii kila siku tunaona mambo chungu nzima ya kushangaza. Subiri Wachina nao waamue kuwa wawindaji wa tembo nchini na walivyo wengi wakishuka mwaka mmoja tu basi watamaliza tembo wote nchini.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Uuaji wa tembo is done in the open kwenye mbuga zetu .Jana nimekutana na mtu ana testify hilo akiwa haamini uongo mkubwa wa serikali na issues za kuua tembo .Chinese are doing this in the open huki Selous na Udzungwa na jamaa wa mbugani hufungua gates na hawakagui .Issue ya meno ya Tembo Tanzania na madawa ya kulevya ni mradi mkubwa wa watawala mengine wasemayo is just a hoax .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK hiyo inashangaza sana kuwa wanapiga vita biashara ya meno ya tembo ila kwenye hunting quota kuna ruhusa wawinde hao tembo na kusafirisha nyara
Ni ajabu unapinga kitu kwa mkono mmoja wakati mkono wa pili unaruhusu
 
Last edited by a moderator:
Hao nawafahamu Best hao ni wawindaji haramu, majangili. Nasemea wale wawindaji halali kama wataanza kuingia nchini kwa "vibali halali" vya uwindaji basi si muda mrefu tembo watapotea kabisa nchini.

Best, mbona wachina hawajambo kwa biashara hii ya meno ya tembo? Wako magerezani hapo wameweka kituo, wanangojea rehema za wakubwa waendelee na biashara zao. wachina hawabebi sembe, ila meno sio kharamu hata kule kwao
 
Mkuu Rocky hii Serikali maamuzi yake mengi sana ni ya kustaajabisha sana.

BAK hiyo inashangaza sana kuwa wanapiga vita biashara ya meno ya tembo ila kwenye hunting quota kuna ruhusa wawinde hao tembo na kusafirisha nyara
Ni ajabu unapinga kitu kwa mkono mmoja wakati mkono wa pili unaruhusu
 
Last edited by a moderator:
Na yule mwana wa mfalme wa huko Uarabuni aliyeuziwa eneo kule Arusha si atakuwa amewawinda hao tembo hadi amekinai?
 
Mkuu Rocky hii Serikali maamuzi yake mengi sana ni ya kustaajabisha sana.

Mkuu BAK itafikia kipindi tembo atabakia kwenye museum tunalipia kwenda kuona mnyama aliyekuwa anaitwa tembo na aliwahi kuishi kwenye sayari yetu ya dunia
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Best, ya nini ukalipie kibali halali kuwinda wakati kuna uwezekano wa kupata meno bila kuwinda? Tena faida ya kutokulipia kibali halali unakuwa faceless, hakuna info zako nyingi kwenye system. So utaweza kukamatwa na kupotea ukarudi na nywele nyeupe na jina lingine hata "Mr Nyau". loop holes ni nyingi mno, tunajaza maji pakachani tu hapa. Inaudhi na kutia hasira. Mimi nikipata chance ya kukwepa kodi siku hizi, nakwepa kwa raha zangu. Vinachosha hivi vitu
Hao nawafahamu Best hao ni wawindaji haramu, majangili. Nasemea wale wawindaji halali kama wataanza kuingia nchini kwa "vibali halali" vya uwindaji basi si muda mrefu tembo watapotea kabisa nchini.
 
King'asti unasema kweli aise
Ya nini kwenda kujisajili na documents zako zote ziwepo kwenye system wakati unaweza kwenda pori la akiba biharamulo au Moyowosi au Selous huko ukamuona askari ukamwambia wazi milioni zako kadhaa hizi hapa niletee meno ya tembo kadhaa na ngozi za chui kadhaa au ukamuona Afisa maliasili wa wilaya fulani ukamwambia aise nenda kwenye store yako njoo na meno kadhaa ya tembo na mahali pake weka pembe za ng'ombe na milioni zako kadhaa hizi hapa
Kwani wao hawataki maisha mazuri na kutembelea hata kivitz mjini
 
Last edited by a moderator:
kama airport walipitisha twiga na hawakuonekana, tembo ndo tutasafirisha hadi nyama na zile singe za mikia.
#bongotambarare

mmh, usiniamshe maruhani ya loliondogate. kulikuwa na kashfa ya wireless kule ukiingia tu unakaribishwa falme za kiarabu. Utakoma mwenyewe
Na yule mwana wa mfalme wa huko Uarabuni aliyeuziwa eneo kule Arusha si atakuwa amewawinda hao tembo hadi amekinai?
 
Best kibali cha kuwinda Tembo wanne kinafanyiwa ukarabati pale wizarani, hivyo kumuwezesha mwenye kibali kuondoka na 10 containers za meno ya Tembo kisha kuwakatia chao wahusika pale wizarani.

Best, ya nini ukalipie kibali halali kuwinda wakati kuna uwezekano wa kupata meno bila kuwinda? Tena faida ya kutokulipia kibali halali unakuwa faceless, hakuna info zako nyingi kwenye system. So utaweza kukamatwa na kupotea ukarudi na nywele nyeupe na jina lingine hata "Mr Nyau". loop holes ni nyingi mno, tunajaza maji pakachani tu hapa. Inaudhi na kutia hasira. Mimi nikipata chance ya kukwepa kodi siku hizi, nakwepa kwa raha zangu. Vinachosha hivi vitu
 
kama airport walipitisha twiga na hawakuonekana, tembo ndo tutasafirisha hadi nyama na zile singe za mikia.
#bongotambarare
Siku hizi wanapitisha container bandarini wanasema tumebeba vitunguu hawakaguliwi kabisa kumbe ndani robo ni vitunguu na robo tatu ni meno ya tembo. Kanchi katamu sana haka na ukipita kwenye mapori huko ndo utapenda kanchi kalivyo katamu
Wanyama wanawindwa kama hawana akili nzuri na wakimaliza msimu wao ai kipindi chao pori jeupe wanabaki wananchi kujimilikisha kuchoma mkaa na kulima
 
Hivi BAK wale wa lumumba mbona kwenye thread kama hizi huwa hawaonekani
Ila anzisha tuu ya kukisema chama chao pendwa utashangaa watakakoibukia au anzisha ya kumsema mpinzani hapa uone watakavyoshabikia ila issue za meno ya tembo, madawa ya kulevya, au ufisadi wa IPTL na Meremeta na Kigoda na EPA hutawaona kuchangia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom