Camouflagers na informers

Kuna movie nimewahi kuona jamaa anajifanya muuza cd bar kumbe ni informer alijifanya anauza cd kwa bei nafuu halafu mchangamfu kumbe alikuwa amemtegea jamaa kinasa sauti kwenye key holder aliocha mezani
 
Aisee jicho lako la tatu linaona mbali sana
 
Kuna movie nimewahi kuona jamaa anajifanya muuza cd bar kumbe ni informer alijifanya anauza cd kwa bei nafuu halafu mchangamfu kumbe alikuwa amemtegea jamaa kinasa sauti kwenye key holder aliocha mezani
Nilikutana na muuza mikanda maeneo ya Sinza nikamshtukia... Nikamkazia sana macho, akaniuliza faza vipi mbona macho kodo kama nimekuchukulia demu wako... Nikamwambia kawaida tu ila kwa kuzuga tu hujambo..
.. Aliondoka fasta sana na Biashara hatukufanya
 
Hizi habari huwa nazielewa sana.

Mshana mwaga uhondo wote bn kuna comment nimeona unasema hii ni sehemu ndogo sana katika uhalisia kama ¼ vile.tunaomba utujuze kwa tunaopenda habari km hizi
 
Hizi habari huwa nazielewa sana.

Mshana mwaga uhondo wote bn kuna comment nimeona unasema hii ni sehemu ndogo sana katika uhalisia kama ¼ vile.tunaomba utujuze kwa tunaopenda habari km hizi
Hapana kuna baadhi ya habari zimepewa hadhi ya classified INFO hizi huwa haziandikwi hata mitandaoni.... Pamoja na uhuru wetu wa kuhabarishana kuna habari hazipaswi kamwe kuandikwa huku mitandaoni..
Unaweza kujikuta kwenye matata makubwa kwa kuulizwa ulijuaje?
 
Hapa TUNAITA QUID PRO QUO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…