Camfed ni nini? Anae wafahamu Camfed vizuri afunguke

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,387
Reaction score
3,158
Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?

Anae wafahamu vizuri ni nani?

How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake?

Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa mtoto wako eti yupo chini ya Camfed?

Mlikuja saa ngapi nyumbani kwangu kuthibitisha kwamba mimi Sina uwezo hadi mumuandikishe mwanangu kwenye programs zenu?

Yani kweli Mimi kabisa nishindwe kumsomesha mwanangu shule ya Kayumba? kweli?

Matusi makubwa sana haya
 
Ni shirika kwa msaada zaidi , ingia google utapata Kila kitu
 
Usishangae ukakita watoto wa wabunge ndio wamejaa huko, hela hazijawahi kutosha assess situation halafu changamkia kama ni fursa !
 
Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?

Anae wafahamu vizuri ni nani?

How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake?

Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa mtoto wako eti yupo chini ya Camfed?

Mlikuja saa ngapi nyumbani kwangu kuthibitisha kwamba mimi Sina uwezo hadi mumuandikishe mwanangu kwenye programs zenu?

Yani kweli Mimi kabisa nishindwe kumsomesha mwanangu shule ya Kayumba? kweli?

Matusi makubwa sana haya
Ni Campaign for femal education development

Ni Shirika linalojihusisha na ufadhili kwa watoto wa kike kuhusu Elimu .

Linasomesha watoto wakike wanaotoka Katika Mazingira magumu mfano yatima, Wazazi walemavu, Wazazi masikini na huwasomesha Hadi chuo kikuu.

Wale wanaohitimu kidato Cha nne na kufeli mtihani huwapa nafasi ya kuchagua Nini wanachotaka kujifanya kama ni biashara huwezeshwa mitaji ya pesa, na kama ni kozi za ufundi pia hupelekwa na kuendelezwa kusomeshwa na kulipiwa Kila kitu.

Watoto wanaosomeshwa na Shirika hili hununuliwa uniform,magodoro, pockti money Kila mwezi, Pedi hununuliwa. n.k

Changamoto ni kwa watoto wanaofadhiliwa kushindwa kufanya vzr kwenye masomo Yao.

Ni hivyo tu ninavyofahamu ila kama Kuna sehemu nitakuwa ninekosea wengine watarekebisha Mkuu.
 
Yaani ni mradi fulani hivi watu wanajinufaisha nao sana. Kadiri idadi ya watoto inavyokuwa kubwa na waratibu wa hiyo program ndo wanavyopata fursa ya kujipigia bingo. Na ndo maana hawawezi kukushirikisha mzazi ili usitibue Dili. Huku kwetu Kuna watoto wameandikishwa kinyemela sana na watu wanagonga bingo za hao watoto balaa.
 
Kosa sio la kamfed kaa vzr ni mtoto wako Kwa kawaida hiyo taasisi hupita shuleni na sio mtaani ,
Ikifika shule inahitaj kuonana na watoto wenye mazingira magumu Ili iwasaidie baadhi ya mahitaji
Kinachotokea ni mtoto wako kajiorodhesha mwenyew kama ni muhitaji na hao wanamsaidia maana yeye ndio muhusika
Kama unaweza mwite mtoto wako kuhoji ilikuwaje akawa mshirika wao.?

Au mtoto Kuna huduma anaomba humpatii ameona Bora apokee msaada maisha yaende.
 
God forbid!

Sina vitu vyote hivyo. Mimi mzima wa afya na Nina uwezo wa kumsomesha mwanangu. Kwanini mwanangu aingizwe Camfed bila ridhaa yangu?

Huo si udhalilishaji?
 
Kosa sio la kamfed kaa vzr ni mtoto wako Kwa kawaida hiyo taasisi hupita shuleni na sio mtaani ,
Ikifika shule inahitaj kuonana na watoto wenye mazingira magumu Ili iwasaidie baadhi ya mahitaji
Kinachotokea ni mtoto wako kajiorodhesha mwenyew kama ni muhitaji na hao wanamsaidia maana yeye ndio muhusika
Kama unaweza mwite mtoto wako kuhoji ilikuwaje akawa mshirika wao.?

Au mtoto Kuna huduma anaomba humpatii ameona Bora apokee msaada maisha yaende.
😭😭😭😭😭😭😭
 
Yaani ni mradi fulani hivi watu wanajinufaisha nao sana. Kadiri idadi ya watoto inavyokuwa kubwa na waratibu wa hiyo program ndo wanavyopata fursa ya kujipigia bingo. Na ndo maana hawawezi kukushirikisha mzazi ili usitibue Dili. Huku kwetu Kuna watoto wameandikishwa kinyemela sana na watu wanagonga bingo za hao watoto balaa.
Now I understand aisee.

Nimemind sana na kuna mmama wa jirani nimeambiwa yeye ndio alipeleka jina la huyu mtoto kwa mwalimu shuleni.

Lengo lake ni kunidhalilisha na kunichoresha?
 
Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani?

Anae wafahamu vizuri ni nani?

How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake?

Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa mtoto wako eti yupo chini ya Camfed?

Mlikuja saa ngapi nyumbani kwangu kuthibitisha kwamba mimi Sina uwezo hadi mumuandikishe mwanangu kwenye programs zenu?

Yani kweli Mimi kabisa nishindwe kumsomesha mwanangu shule ya Kayumba? kweli?

Matusi makubwa sana haya
CAMFED (Campaign for Female Education) ni shirika lisilo la kiserikali linalojikita katika kuwawezesha wasichana wa vijijini kupata elimu na kusaidia wanawake vijana kujiendeleza kiuchumi na kijamii. Haya ni baadhi ya majukumu yake kuu:

1. Kusomesha wasichana wa vijijini
- Hutoa ada, sare, vitabu, na vifaa vingine vya shule kwa wasichana wanaotoka familia masikini.

2. Kuwasaidia wasichana kusalia shuleni
- Wanahakikisha wasichana hawakatishi masomo kwa sababu ya umaskini, mimba za utotoni au ukosefu wa usaidizi.

3. Uwezeshaji wa kiuchumi
- Baada ya masomo, CAMFED huwasaidia wasichana waliohitimu kupata mafunzo ya ufundi, mitaji, au fursa za ajira.

4. Kutoa mentorship na uongozi
- Wana mtandao wa wanawake waliowahi kusaidiwa (CAMA alumnae) ambao huwahudumia na kuwashauri wasichana wengine.

5. Kuelimisha jamii
- Wanafanya kazi na jamii kubadili mitazamo kuhusu elimu ya mtoto wa kike, kupinga ndoa za utotoni na unyanyasaji.

6. Kushirikiana na serikali za elimu
- Wanatoa taarifa na mifumo kusaidia serikali kuboresha mazingira ya elimu kwa mtoto wa kike.
 
Wapo vizuri. Ila huku ngazi ya chini kuna watu wana wahujumu. Nimemind sana kugundua mwanangu yupo Camfed wakati Mimi baba yake Nina uwezo wa kumsomesha. Na hawakunishirikisha
 
Kuna mtu namfahamu ni mwana CAMA kwa maana aliwahi kusaidiwa na hao Camfed. Kwa sasa anajifanyia shuguli zake za kipato na ana pesa nzuri tu. Camfed huwapa hadi mikopo isiyo na riba. Can you imagine unakopa milioni 4 ulipe mwaka mzima/miezi 6 bila riba?
Bidada huchukua na kurejesha haraka kisha hukopa tena.

Sema watu wanapiga hela sana huko kwa namna wanayojua wao.

CAMFED (Campaign for Female Education)
 
Back
Top Bottom