Cameroon vs Chile live TV1

GOOOOOOOALLLLL.
duh kweli hawa mizigo..
bahati yao ma linesmen wamewatetea..
 
Cameroon kama watoto waliobemendwa,wanarukaruka tu uwanjani,tushukuru halftime jamaa hawajatufunga yaani nilihisi leo tunapigwa 8,bora Ivory Coast au waarabu wa Algeria
 
Cameroon kama watoto waliobemendwa,wanarukaruka tu uwanjani,tushukuru halftime jamaa hawajatufunga yaani nilihisi leo tunapigwa 8,bora Ivory Coast au waarabu wa Algeria
ukiwaangalia wachezaji wetu wana kila kitu, warefu maumbo yao ni makubwa. Lakini wanashindwa kutumia vitu hivyo uwanjani.

Chile ni vidagaa lakini vinafurukuta sana uwanjani, wanaienyesha Mibaba mizima?
 
Back
Top Bottom