Cameron awachana viongozi wa AU! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cameron awachana viongozi wa AU!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Sep 22, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Viongozi wa Africa waliopo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa sijui wanajisikiaje wakati waziri mkuu wa uingereza, David Cameron, anawapiga madongo wazi wazi. Yaani Cameron anaubavu wa kuwachana chana hawa jamaa katika karne hii na wao wanapiga makofi? Africa kazi tunayo!

  Cameron criticises the African Union's response to the Arab Spring.

  "Many will find it hard to understand why countries in Southern Africa which have fought so hard to throw off oppression have been so slow to respond to the Arab Spring." - David Cameron, British PM at UN General Assembly. 23 September 2011

  Hotuba yake nzima iko kwenye kabrasha hii ya PDF

  View attachment GB_en.pdf
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Smashing both sides of the Coin does not make the coin worthless.....
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wangemwambia k@#$nina zake. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya ukoloni. Alikuwa wapi tulipokuwa tunateseka chini ya apartheid.
  Leo anathubutu kutuambia sisi juu ya Arab spring. k^%$nina zake. Wangekuwepo leo akina Nyerere na Nkrumah wangempa jibu lake stahiki.
   
 4. n

  nyabina Member

  #4
  Sep 23, 2011
  Joined: May 29, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kawachana,kwa kuwa wanawatumia watakavyo,hawana nguvu ya kusimama na kusema hapana,kwa sababu wako rahisi kuliko unavyodhania.Ukisha jirahisi kwa manufaa yako,daima utakuwa mtumwa.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kweli kabisa kijana
   
 6. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Jibu muhafaka. Hawa wa sasa wote ni bendera fuata upepo. Na toka lini Cameron akawa msemaji wa Waarabu? Vumbi likitulia na Waarabu wakagundua kuwa wamepigwa changa la macho na akina Cameron hapatakalika. Ni akina Cameron hao hao watakaoendesha kampeni za kuwapinga watu wanaopigania uhuru wa kweli. Tungoje.
   
 7. A

  Awo JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 793
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Alikuwa hajazaliwa, na hata kama alikuwa amezaliwa alikuwa mtoto. Tayari leo ni Waziri Mkuu wa Uingereza wakati Africa bado inaongozwa na vijibabu!
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hana lolote,

  Cameroon is greedy, mlafi mkubwa wa resources..shetani in short
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,141
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida "Kaka etu" akawa ana "batasamu" na kupiga makofi tu, wengine walikua wanasinzia kutokana na ulevi na uchovu, wengine lugha haipandi na vile vidubwana vya kutafsiria hawawezi kuvitumia! Duh, kaaazi kweli kweli! Haya walipwe per diem zao warudi gizani huku!
   
 10. brazakaka

  brazakaka Senior Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  NATO kidogo kidogo wanarejesha ukoloni mamboleo africa
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Bahati mbaya sana wanaume wamekwisha tangulia mbele ya haki ; tuliobakia nao ni masharobaro kazi kuuza sura na kupokea rushwa za suti na ngono, na sisi tunakubali kuwa hawa ndio viongozi wetu!!
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nashangaa sana, muuza sura wetu ana mpango wa kuhudhuria mkutano wote, maraisi serious wote wanahutubia tu na kujikata!!

  After all, anapunguza kero za failure ya utawalawa wake akiwa NY!!
   
 13. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,719
  Likes Received: 980
  Trophy Points: 280
  Kwanini hawakutoka nje hao "miafrika" mbona wazungu walitoka wakati Mbabe wa Iran alipoanza kuchana. Jamani Afrika mie ningekuwa na uwezo ningeipotezea yote duniani isiwepo; huku kudhalilishwa huku.
   
Loading...