Camera ya cannon type ipi iko vizuri kwa picha?



Hujasema ni picha za mnato na video au? Any way Kwa kuanzia Canon 600D itakufaa.. inapiga both video na mnato
 
WAKUU,

NINA KAMERA YANGU NDOGO AINA YA NIKON.

TATIZO NI KWAMBA NINAPOIWASHA ILI NIPIGE PICHA LENS HAICHOMOKI,
NA INAONESHA UJUMBE
UNAOSOMEKA
"Lens Error".

KUNA MWENYE UJUZI WA KULI_FIX HILO TATIZO.
 
Nna 600D Canon kamera nzuri sana
 
Perfect!
 
Kuna mtu anataka kuniuzia nikon 700D iko complete lens mbili bag cleaning tools 1.3m hii bei ni fair kweli na. Camera katumia 8months .

Au
Nikanunue k.koo nikon 3300D. Lens moja ile mwisho 55
 
Kuna mtu anataka kuniuzia nikon 700D iko complete lens mbili bag cleaning tools 1.3m hii bei ni fair kweli na. Camera katumia 8months .

Au
Nikanunue k.koo nikon 3300D. Lens moja ile mwisho 55

Bajeti yako ingekua ipo vizuri ningekuuzia kitu cha 5d markIII kipya full set utambe hapa mjini
 
Kama upo serious na hiyo kazi, una customers base njoo inbox nitakukabidhi vifaa vya kisasa ikiwemo canon new model ( 5D mark 3)..njoo na wazo tufanye kazi..sharti ni moja tu uje na idea ya namna gani tutapata pesa na idea iwe realistic
mkuu vip umeshapataga mtu? mm nilikuwa na aidea nzuri tu jinsi ya kutengeneza pesa na camera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…