kila matumizi na camera zake, kuna camera chini ya milioni na ni nzuri tu, karibia kila kampuni sasa hivi ina DSLR ya around $300 hivyo sio lazima utoe mamilioni ununue camera ambayo hutumii feature zake zote.Bei ya camera ni msiba, hata ukipewa hiyo hela utaghairi hata kununua, akanunua gari canon 5d mark iii inauzwa million 9 na ushee, nikon d7200 milion 4.5... Pale jumbo camera posta... Sijajua km kuna duka lingine la camera wenye kujua watujuze
Ubora wa picha na video, hebu share hizo camera na maduka ya camera kama unayajua ili tujue zaidikila matumizi na camera zake, kuna camera chini ya milioni na ni nzuri tu, karibia kila kampuni sasa hivi ina DSLR ya around $300 hivyo sio lazima utoe mamilioni ununue camera ambayo hutumii feature zake zote.
mfano kwa canon kuna EOS 1200DUbora wa picha na video, hebu share hizo camera na maduka ya camera kama unayajua ili tujue zaidi
Gharama mno paleNenda benjamini mkapa tower first floor kuna duka inaitwa Jumbo
Thanks na zenye kupiga na video piaLabda kwanza nikuweke sawa
1. Biashara ya picha SIO BIASHARA NDOGO
2. Unapoomba ushauri USIONESHE UNAJUA
Sasa nikushauri, sasahiv camera nzuri ni zile za mfumo wa DSLR(Digital Single Lens Riflex)
Na kuna brand nying mf. Canon, Nikon, Sony, Samsung, Pentax, na nyingine nyingi.
Kwa mahitaji camera ya still pictures nzuri ya gharama nafuu ipo Nikon D40,D3100 hizi ni camera nzuri sana
Entrepreneur na mwanafunzi wa chuo kimoja Dar ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo.
Nahitaji kufahamu camera ipi ni nzuri kwa mawazo yangu ninampango wa kununua cannon lakini sijajua cannon model gani ndo itakua suitable.
[HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] tafadhali
Nenda benjamini mkapa tower first floor kuna duka inaitwa Jumbo
Vipi kuhusu mwenye idea ya kipindi cha TV hutoi ushirikiano ?Kama upo serious na hiyo kazi, una customers base njoo inbox nitakukabidhi vifaa vya kisasa ikiwemo canon new model ( 5D mark 3)..njoo na wazo tufanye kazi..sharti ni moja tu uje na idea ya namna gani tutapata pesa na idea iwe realistic
Vipi kuhusu mwenye idea ya kipindi cha TV hutoi ushirikiano ?
Hizo kamera ukishapiga mpaka ukaprint sehemu nyingine au zina printJumbo naona kama wanaelekea kufilisika wale maana vifaa vingi hawana wamebaki na displays tu.. kila ukiwalulizia vifaa wanakuambia wataagiza usubirie