Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Teh tehKama hii nchi ni masikini duniani kwa mujibu wa marekani, basi sisi Tanzania hatuko kwenye hiyo dunia. Huenda sisi Africa tuna dunia yetu
North korea ilikuwepo hata kabla ya hayo maghorofa na barabara!huyu kipanki siyo rais wa kwanza NK!wala sheria za leo za NK siyo zilizokuwepo awali!Acha uongo na hayo maghorofa ndio kambi ya jeshi........ kwa hiyo barabara zote hizo za lami kwa ajili ya kupita raisi wao
Watu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Huyo akianguka hapo Kipanki ataamuru apigwe risasi hadharani kwa utovu wa nidhamu!! What a stupid place on earth!
Nendeni mkawashambulie ndiyo mtajua maskini au vipiHakika hamfahamu..nchi hii ni maskini was kutupwa!!ma orofa ndo utajiri???pole
Akamshambulie??unamaanisha tz ikamahambulie??hatujipend[emoji2][emoji2][emoji2]Nendeni mkawashambulie ndiyo mtajua maskini au vipi
ila nimependa tu matching yao na usafi plus majengoWakuu kwa haraka haraka nimebaini askari wa North korea si wa mchezo mchezo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa hana wasi wasi kabisa,
Mtizame na huyo aliyeshikilia ngazi naye kwa haraka haraka yuko vizuri,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu chambua na wewe kadri uwezavyo
Tanzania kuna Waziri alishawahi kutamka eti tutakula hata Nyasi ilimradi ndege ya Rais inunuliweWatu wa north korea ni masikini waliolazimishwa kufumba macho ili wasiuone umasikini wao!! Serikali ina pesa sawa! Ila asilimia kubwa ya fedha yote inaishia kwenye miradi ya nuclear weapons!! Eti raia haruhusiwi kumiliki hata Vitz!! Rais pekee ndiye tajiri kwenye hiyo nchi! Akifuatiwa na wanajeshi wa ngazi za juu! Huyo rais alishawahi kutamka kuwa ni heri watu wafe njaa lakini jeshi liwe imara! Yaani nchi nzima watu wanafanyia kazi jeshi tu!! Huo ni umasikini wa kiwango cha kutisha
Utapata picha ya Boxer za kijeshi!! ZA mabakamabaka.Hapa ukishoot low angle unapata taswira mujarabu [emoji39]
Atakuwa kibaraka wa Marekani huyo jamaa, utakenga Barbara za rami nchi nzima kwaajiri ya gari moja tu ya rais? Maana za jeshi popote zinapita. Kwakifupi ni kuwa hakuna anayeijua north Korea kiundani zaidi ya wao wenyewe. Ukiona unataarifa kuwahusu ujue wameitoa wao wenyewe. Jiulize toka wawekewe vikwazo mpaka sasa umesikia uchumi umeporomoka na kuhitaji msaada kama wa ugiriki? Marekani hawana taarifa za siri za north Korea kwasababu mfumo wa mawasiliano ni tofauti na nchi nyingine duniani hivyo ni ngumu sana hata kufanya udukuzi.Acha uongo na hayo maghorofa ndio kambi ya jeshi........ kwa hiyo barabara zote hizo za lami kwa ajili ya kupita raisi wao
we una pamoja na umasikini wako una ghorofa ngapi mkuu?Hakika hamfahamu..nchi hii ni maskini was kutupwa!!ma orofa ndo utajiri???pole
factKwel wamarekan nawashirika wao niwaongo sana ndomaana media zote kubwa nizao ili watudanganye.nimesema hivo kwasababu wanatuaminisha kila siku kua nchi hii nimaskin kupindukia lakin jaman hayo maghorofa namiji ilivopangwa vizur hivo mbona haifanan natunavoambia yaan hata kwaafrika huomji hakuna nchi inayo
Drone itakaa angani had saa ngapHiyo ni nchi ndogo sana kwa wamarekani. Ukizingatia kiuchumi na idadi ya askari na technolojia ya kivita.