camera inauzwa tsh 400000

camera inauzwa tsh 400000

maskin

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
78
Reaction score
27
View attachment 25761

Product Features
14.1-megapixel resolution; 4x optical image-stablized zoom
720p HD video capture at 30fps
Panasonic iA mode makes it simple for anyone to take beautiful photos
LUMIX Image Uploader makes it simple to share pictures on Facebook and video on YouTube
Capture images and video to SD/SDHC memory cards (not included)

bei tsh 400000 ukihitaji ni pm
 
Wabongo bana hizi kamera zikiwa mpya zinauzwa kuanzia 200,000 hadi 300,000 pale Game,na maduka mbalimbali hapa town,ingekuwa ni SLR tungesema asavali
 
Duh?kwa maisha haya bora kwa kila mtanzania mi sitaweza hiyo bei mpaka baada ya 2015 labda.
 
mkuu revolution nashukuru kwa kujibu ila laki 2 unauwa bendi mkuu, itakuwa haendi,ila kuna mshikaji hapa mfiachi kasema game zipo kama zipo hebu chek labda inaweza kuwa bei nzuri kuliko mimi si wajua tena inategemea mimi nimeipataje na hivi vitu huwa vinashuka bei kadiri inapokaa sokoni au kunapokuwa na toleo jipya,ila mfiachi SLR anazosema labda zipo za laki4 ila navyojua hivi vitu inategemea specifications tu na imetoka wapi,ila wakuu nashukuru kwa kuonyesha interest zenu akina Papizo Kireka1980 KIMICHIO revolution big up
 
Kwa kifupi kaka hiyo bei ni kubwa hata pamoja na hizo spec zake,ingekuwa hizo zingine kwa mfano SLR ambzo ni kwa pro na semi pro ambayo imetumika watu wangechangamukia ,tafadhali unapouuza kitu angalia na soko la kitu chenyewe,sifa ya hicho kitu je kweli kina thamani ya pesa uliyosema,hayo ni maoni yangu tu,kwani kwa yote hili ni soko huria mwenye kitu ndio mwenye uamuzi sisi wengine tunapiga tantalila tu
 
ok mfiachi bei tsh 350000 bei imepungua najua sio SLR na kweli kama ulivyosema ila na slr sio bei ndogo mkuu, ukisema unataka pro SLR mkuu ni almost milion na kuendelea,sasa natumaini hii itakuwa realistic zaidi ,camera haitumika kabisa ni mpya
 
Back
Top Bottom