Camera: Canon v/s Nikon

Kuna RED CAMERAS.... nimepitia machapisho kadhaa juu ya vitu hivi. Je, naweza pata uzoefu juu ya zana hizi. Kuna kampuni yenye kuzimiliki camera hizi?
 
..kwa DSLR Canon iko poa..hata katika Video ,uwe mzuri tu katika kuitumia...nunua na lens zake ufurahie
 
Sawa nimeliona hili kwa hii video camera hiii just 2mp
 
so sensor inabidi ianzie ngapi kwenye camera standard?
 
so sensor inabidi ianzie ngapi kwenye camera standard?

full frame ndio sensor nzuri zaidi ambayo ni 36mm kwa 24mm cheki picha ya juu, ila bei zake ni maelfu ya dola kunzia dola 2000 kupanda juu. kama nilivyokuambia hapo juu na link niliyokuekea ukinunua dslr ndio best bet sababu automatic utapata lens nzuri, sensor nzuri nk

nikon d3300 ambayo nimekurecomend na wadau pia wamekushauri sensor yake ni 23.5 x 15.6 mm kwa lugha nyengine 366.60 mm² sio full frame sensor ila kwa bei yake ni best sensor utakayopata.
 
Kuna RED CAMERAS.... nimepitia machapisho kadhaa juu ya vitu hivi. Je, naweza pata uzoefu juu ya zana hizi. Kuna kampuni yenye kuzimiliki camera hizi?
Red ni Cinematic cameras
 
nilinunua canon d660 pale phone1 mliman city dollar 570 iko vizur kwa kweli japo uweo wa kuvuta picha toka mbali ni mdogo.
 
NATAKA KUNUNUA CANONO 5D MARK III ILA HIYO BEI YAKE SASA NILIPITA KWENYE DUKA MOJA (JUMBO CAMERA HOUSE) HAWA JAMAA NI KAMA WANAOVERPRICE VITU 5D MARK III INAANZIA MILION 6 DUUUH!!!! NA BAJETI YANGU HATA HAIFIKI ROBO YA HIYO BEI..........
 
Ntumia Nikon S8200 COOLPIX, kwa matumizi ya nyumbani ipo poa sana.
 
Nimepata canon 600D yenye lense ya 18-55 je naweza piga picha za aina hii, maana ndiyo shauku yangu kubwa
 
Nauza Cannone 1000 D kwa Tsh 600,000 ipo Arusha hairekodi nimepata 1100 D inayorekodi... hiyo nayo iuza ipo katika hali Nzuri maana sijatumia muda mrefu..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…