Call waiting........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Call waiting........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tabibumtaratibu, May 10, 2012.

 1. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  "Samahani namba unayopiga kwa sasa inatumika tafadhali subiri"Maneno haya yameniweka kwenye mtafaruko na mpenz wangu mida ya tigo promo saa nne usiku.Amenuna hataki hata tuöngee kwa madai eti nilikua naongea na mpnz mwingne na anataka 2achane.Hivi wajamen tatizo ni call waiting au anayake mengine?
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Muulize!
   
 3. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  hataki hata kupokea simu, nikituma sms sijui anaisoma ila hajibu ki2.Yaan... We acha 2 niko njia panda
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa na wewe tigo promo badala ya kuongea na mpenzio uko kwenye simu na mtu mwingine...ulikua unaongea na nani??
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mpe muda.
   
 6. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  niliku naongea na ndugu yangu kuhusu application za chuo, yaan mpk najuta ss
   
 7. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  mda kiasi gan mkuu siku ya tatu sasa bado hajapoa
   
 8. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atakuwa na mengine yame mbore zaidi ya hiyo call waiting.....Muulize.:A S check_03:
   
 9. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mpige chini hata wa kwangu kanizingua nikamdelete

  unavua gamba unavaa gwanda huo ni mpango mzima
   
 10. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  hata nafas ya kumuuliza hataki kunipa ye anachotaka ni kuachana 2.
   
 11. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  yaani nampenda sana na kumuacha siwez ndicho kinachoniumiza zaid
   
 12. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Excellent..utapiga chini wangapi?.Nenda nae taratibu.Kila kitu kitakua sawa..:sorry:
   
 13. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  ukali wake ndo unanitisha zaidi,ila ngoja nitafute subira inivutie kheri'
   
 14. jokate

  jokate Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :sleep:..Talk to her in a nice wayyyyyyyy....atakusoma tu.
   
 15. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  yaan nashindwa hata niongee nae vp coz cm hapokei nikibadilisha namba akisikia saut yangu 2 anakata cm,au kuna m2 anampa kiburi nn?
   
 16. jokate

  jokate Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Possibly YES OR NO..anaejua ni wewe na yeye jinsi mnavyoendesha mapenzi yenu...Mapenzi ni maelewano..kama hamna hivyo.Dont force.:flypig:


  JOCATE DIAMOND..
   
 17. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmh...mkali tena..
   
 18. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo unanishauri nimwache au? Kama yes nitawaacha wangap?
   
 19. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  zaidi ya bikra mwenye ukwimwi, licha ya kuniona hataki hata kunskia
   
 20. jokate

  jokate Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  sikushauri umwache.kaeni myamalize.mwache mpaka apoe kama ulivyoshauriwa na watu.
   
Loading...