Call to Action: Seize the da*n Generators! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Call to Action: Seize the da*n Generators!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, Mar 20, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Sawa tunahitajia mitambo ya Dowans;

  DON'T BUY THEM, SEIZE THEM KWANI WAMEWADANGANYA! Kwanini mnatetemeka kwenye option hii. Vinginevyo si huwa tunaomba misaada ya kigeni, mwombeni Al-Adawi aitoe kama hisani kwa Tanzania. Vinginevyo waombeni wajomba zetu wanunue msitumie fedha za Watanzania.

  Yote yanayoendelea hapa ni kutaka tununue tu? Why why why? Kwanini tuyanunue;wakati tunajua dowans haipo kisheria? Kwanini mmeng'ang'ani tuyanunue tu wakati kuna options za kuyataifisha baada ya kujua kuwa waliingia kwa uongo soma PPRA na sheria za kuhujumu uchumi..

  why are you scared Mr. President; why are you tetemekaling Mr. Ngeleja. YOU WANT DOWANS' TURBINES? GO GET 'EM!

  Mtamaliza huu mjadala. Lakini.. ooh no! we have TO BUY THEM!

  Najua rafiki yenu naye kawakomalia, mlimuahidi mtanunua sasa imekuwa ngondo mwaanza kufunga milango. Kwanini msiamue kununua kutoka katika fedha zenu mifukoni mwenu kuonesha huo uzalendo wenu?

  Kwanini mnaiogopa Dowans? Hamtaki kuizungumzia kampuni mmebakia kuzungumzia majenereta; hamtaki kuzungumza nwa GE, Siemens, Kawasaki n.k watengenezaji ambao wamewaambia tayari yapo majenereta ambayo yanaweza kuletwa nchini ndani ya mwaka huu na kuanza kazi tena kwa bei ya ushindani, mbona hamtangazi tenda.. mnataka Dowans Dowans Dowans

  Hili mmlianzisha wenyewe, next time msilete marafiki zenu kwenye biashara mkiahidi kuwapa utajiri ambao na wenyewe watauzungusha kwenu!

  NO DOWANS, FIND OTHER ALTERNATIVES.. HAMUWEZI KUJIZUIA.. THEN CONFISCATE THEM SHERIA IKO UPANDE WENU!
   
  Last edited by a moderator: Mar 20, 2009
 2. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu,

  They have got us by the balls...we cant breathe!
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  It don't make any sense.. katika Taifa zima hakuna mtu ana ujasiri wa kusema "they lied to us, we will seize the turbines" liwe fundisho kwa wawekezaji wengine. Don't come to us under false pretense, lie to us, take us for a ride.. and then expect us to buy the same shyt!

  Hakuna Rais, Waziri au mwanasiasa mwenye kuthubutu kusema hivyo. Now I really like Nyerere and Chavez!! Long live the Revolution!! Tunatetemeka hata kwenye nchi yetu. Tunaogopa kuonekana wabaguzi kwa kuita ukweli ukweli.

  c'mmon people.. kama kweli tunaihitaji mitambo hiyo serikali imuombe al-adawi aitoe bure kama mchango kwa nchi yake pia! Hapo hata mimi nitamshukuru!

  Yaani, tunalazimishwa tukubali kuibiwa..!
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu serikali inaundwa na mtu ambaye ndo hivyo tena kashuhudia dili chafu nyingi machoni mwake........anao wapa madaraka ndo wale wale tusitegemee kipya hapa sawa na mti tukitaka kuukata tukate mizizi na si matawi....tunajaribiwa kwa kukata matawi.Matawi mengi yamekatwa na wananchi wanashuhudia lakini yakidondoka chini yanaota tena.
  Dawa ni kuharibu mizizi ndo maana anashindwa hata kuzungumzia DOWANS.Sheria zipo wazi ile mitambo uwezo na nia tunayo tukiamua kuitaifisha.
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu heshima mbele,

  Jamani uyasemayo ni sahihi na kila mtanganyika wa kweli roho inauma kwani inashangaza pamoja na vilio na data zote zilizokwisha wekwa wazi na wadau mbali mbali kuhusu dowans na hiyo mitumba ya majenereta, bado rais na serikali yake wanashindwa kuchukua hatua ya kutaifisha au kuyaondoa hapo ubungo ili tuweke mitambo mipya.

  Serikali ya sasa sijui ina nini?? Kama mkuu wa nchi unashindwa kweli kutoa amri ndani ya nchi yako kwa masuala yenye maslahi kwa nchi!? Basi !!
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Naomba niulize,
  Hivi hakuna wadau wanaoweza kuandaa maandamano ya kushinikiza ngeleja, rashid wajiuzuru?

  Nakumbuka mwaka fulani Nigeria wananchi walichoma moto nyumba ya meneja wa shirika la umeme baada ya umeme kukatika wakati wa world cup, je tufanyeje hapa kwetu na haya masaibu?
   
 7. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Unapowafuata mafisadi wakufadhili kwenye uchaguzi what do you expect? Ndio maana nasema they have got us by the balls sababu ndio hao wamefadhili wazee kuwepo madarakani...katika mazingira hayo utawafanya nini?
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  allegedly, a little while ago...


  "Mr. President, why is your government not buying my turbines" - Mr. Al-Adawi to Kikwete in a conversation a little while ago.

  "Don't worry.. you know Tanzanians, they like talking a lot. So at the end we will buy them" Kikwete responded confidently.

  "But now there are all kinds of accusations against me and my companies, why can't you do something Mr. President" angrily but methodically Al-Adawi begs Kikwete.

  "As I said, don't worry we have everything under control" Kikwete now a little more alert.

  "People think I'm a corrupt man, you asked me to bring these things, and you promised before I brought them that your government will buy them at the end of the contract; you broke the contract now you don't want to buy?" Al-Adawi kept pushing. A little silence followed.

  "I know, we will keep our promise. But be patient with us. We will tell some people what is at stake and I know they will support us" President Kikwete reassure the troubled businessman.

  "What about the Portek think?" Al-Adawi asks.

  "Don't worry, our newspapers will not explore that. I know they won't. We will make sure we talk about how bad we need the turbines and how brand new they are and why we need them now. We will not entertain talk about who is behind Dowans or how your company. We will make sure that is not an issue". President Kikwete says confidently. ....

  allegedly ka.. nzi ikabidi kaende kulala...
   
 9. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kuchoma moto hayo majenereta yaweza kuwa ni moja kati ya ufumbuzi wa suala zima.
  Hata hivyo kwa nini tuyachome moto wakati tuna uwezo wa kuwakuwabana kisheria wawekezaji hawa nuksi ?

  Ili mradi mambo haya ya kitapeli yameanza kushughulikiwa hapa US, bila shaaka mwangwi wake utafika huko Bongo ndani ya miezi 12. Taifa kubwa likianzisha varangati la kusaka wanga vumbi lake huishia kwetu.

  Watu wanatuibia mchana kweupe huku wamevaa suti na tai nasi twaishia kutazama tu.
  Uharamia sasa hivi ni moja kati ya sifa zinazo kuweka madarakani Tanzania. Uzalendo umekuwa sumu miongoni mwetu. Mzalendo ni mtu anayenuka umasikini.

  Swali la kujiuliza ni hili, tutaendelea kuwa watazamaji wa wajenzi wa umauti wa nchi yetu hadi lini?
   
 10. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  wewe nawe una matatzio yako,

  Dr Rashid ana kosa gani?

  Mhe. William Ngeleja ana kosa gani?

  Kueleza uhalisi wa jambo ndiyo kosa?
   
 11. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Simonm mdau yupi? Tanzania kwani ni ya nani? Ni mimi na wewe wadau, haya tuanze kuhamasishana, tufanyeje? Kibaya tunajificha kwenye keyboard.

  Ukiwa nje ya nchi na unasoma humu janvini utafikiri Tanzania kuna waka moto. Ninakumbuka nilikwenda nyumbani kipindi Lowassa et la. wanajiudhuru, moto uliokuwepo humu kwenye janvi sikuamini macho yangu niliposhuka airport na kupokelewa na matax driver na kuiona Dar iko kimya kama hakuna kitu kinaendelea. I wish mwamko uliomo humu ndani ungekuwa hivyo hata nyumbani.

  Kwa hiyo simonm mpaka siku watanzania wote wataamka na kuelewa maslahi yao ndipo hapo tutaweza kuandamana;

  Bado tuna safari ndefu.

  Mungu ibariki Tanzania na watu wote wanao iombea mema.

  Njimba
   
 12. D

  DawaKali Member

  #12
  Mar 20, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu, hapa inabidi sisi wenyewe ndio tujisaidie kusudi ombi letu litendeke.

  Nawaomba ndugu zangu hapa. Twendeni tuka zisake SHERIA NA KANUNI kwenye relevant authorities zote nchini. Ambazo zinaweza kuthibitisha uwezekano wa KUITAIFISHA hii MITAMBO.

  Alafu tupeleke hizo sheria kwa Idris Rashid na William Ngeleja na kwa wote wenye mamlaka yakushugulikia utaifisho huo kwa kutumia hizo sheria na kanuni tulizo wapa.

  Atuwezi tena kuangojea watufanyie haya mambo. Majuzi hapa tumewaomba waheshimiwa watuletee sheria na kanuni zakubana conflict of interest bungeni ambazo zimo kwenye mamlaka yao na wakasema nenda kafanye google utaipata hio sheria na kanuni zake.

  Sasa naomba basi tukafanye hio google na vile vile kwenda kusaka makabrasha yote maofisini ambayo yata tuwezesha kufanya jambo hili.

  Tushirikiane wote ndugu zangu waTanzania tuliwezeshe jambo hili kwakuleta all the legal statutes available to us within the law of our country hapa. Kusudi tuzichambue alafu zitumike kutaifisha mitambo hii ya DOWANS.
   
  Last edited: Mar 20, 2009
 13. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu Mwanakijiji,

  Hapa nakubaliana nawe, kama tuna mwanya wa kutaifisha hizo machine tufanye hivyo tena haraka sana.

  Hakuna sababu ya huu mjadala wa hizi machine kuwa sinema ya miezi na miezi, tufike mahali tuchukue uamuzi na kumalizana nao.
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hizi zilitakiwa kutaifishwa wakati ule ule walipositisha mkataba kwa vigezo vilevile walivyotumia kusitisha mkataba
   
 15. mwakatojofu

  mwakatojofu JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  suppose anawageuka na kuwaambia eh, jamani eh kuanzia sasa kila kitu kiende kwa kufuata taratibu. kwani watamfanya nini?

  oh. nilisahau. anawategemea kwa ufazili next uchaguzi?
   
 16. mwakatojofu

  mwakatojofu JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inawezekana wahusika hawafikii option ya kutaifisha kwasababu wanaogopa tz itapakwa matope kuwa 'inataifisha mali za wawekezaji'.

  kwa maana hiyo wawekezaji watakuwa hawaji tena - au watakuwa wanakuja kwa uchache
   
 17. D

  DawaKali Member

  #17
  Mar 20, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 54
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni lazma kuitaifisha, na vile vile in the process ya kuitaifisha inabidi kuweka mkakati wa publicity campaign ulimwengu mzima kuonyesha mitambo inataifishwa kwa sababu ya kukiuka process na kutupa hasara. Na kuwathibitishia investors wowote kwamba kama tukipata mfadhili wamaana, anakaribishwa kuchangamkia hiyo tenda kwakufwata a clean and fair process, ambayo haina urasimu usio na maana. Ni kitu kinachoweza kueleweka. Kilakitu lazma kiende kwampangilio. Sio kwamba lazma tukurupuke tu. Tujaribu vile vile kuwabana kisheria wahusika wote kwenye hii issue kusudi tuitaifishe mitambo with a cleak stroke. Mbona at the moment mabenki sasa hivi yanataifishwa kweupee na Serekali za magharibi kwa makosa yao yakuingiza nchi zao kwenye economic problems kwamakusudi.
   
  Last edited: Mar 20, 2009
 18. A

  Audax JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahaaaa,hili ni zimwi likujualo...............
   
 19. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  We mwanakijiji have you given any thought to the effect that will have on investor confidence. Seizing, even when sanctioned by legislation will create a sense of insecurity as to the concept of just and fair laws as applied in Tanzania. And should it be the case that they deserve it then another thing worries me. Hii serikali ikiaanza kutumia powers za kuseize mali za watu kama hivyo inaweza kuset a bad precedence that will lead to such measures on political battles between those in power and their opponents and supporters (Mikhail Khodorkovsky) remember what putin did to him.

  Bora hilo giza kuliko kurudi kwenye mambo ya nyerere yakuuliza kila nyumba nzuri yanani..
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  Mar 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Nadhani... itatuma ujumbe mzuri tu kwa wawekezaji.. don't mess with us no more. Wawekezaji kama wanafuata taratibu na wanafanya mambo yao kisheria hawana cha kuogopa.
   
Loading...