K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 2,108 Reaction score 1,931 Jan 5, 2023 #1 Habari Wana jukwaa naomba Uzi huu uwe Kwa ajili ya kupeana taarifa mbali mbali za Fund au Grant Kwa ajili ya proposal mbali mbali zinazo tangazwa na serikali au Taasisi mbali karibuni
Habari Wana jukwaa naomba Uzi huu uwe Kwa ajili ya kupeana taarifa mbali mbali za Fund au Grant Kwa ajili ya proposal mbali mbali zinazo tangazwa na serikali au Taasisi mbali karibuni
Mwalimu-Mkuu Member Joined Feb 22, 2013 Posts 75 Reaction score 205 Jan 5, 2023 #2 Ungependa opportunities za grants zaaina gani?..omba nikutumie hapa.
K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 2,108 Reaction score 1,931 Jan 5, 2023 Thread starter #3 Mwalimu-Mkuu said: Ungependa opportunities za grants zaaina gani?..omba nikutumie hapa. Click to expand... Zozote tuma
Mwalimu-Mkuu said: Ungependa opportunities za grants zaaina gani?..omba nikutumie hapa. Click to expand... Zozote tuma
Ihayabuyaga JF-Expert Member Joined Aug 22, 2011 Posts 507 Reaction score 558 Jan 5, 2023 #4 Mwalimu-Mkuu calls for proposals za miradi ya maendeleo itapendeza zaidi
K kipenseli2021 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 2,108 Reaction score 1,931 Jan 5, 2023 Thread starter #5 Ihayabuyaga said: Mwalimu-Mkuu calls for proposals za miradi ya maendeleo itapendeza zaidi Click to expand... Kabisa
Ihayabuyaga said: Mwalimu-Mkuu calls for proposals za miradi ya maendeleo itapendeza zaidi Click to expand... Kabisa
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,402 Reaction score 10,741 Jan 5, 2023 #6 Nchi ina funguka sasa... kila raia ana taka mikopo na misaada... Safi sana wazalendo...
Sax JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 4,152 Reaction score 7,732 Jan 5, 2023 #7 Unitedpeople.global UPG Biashara. kwa wajasiriamali