Call for interview Erolink

Call for interview Erolink

Here mundu nipe habari nimefurah kukuta hii habari yako humu Mimi nimepeleka CV Leo kunamtu aliniconect please Niambie ilichukua muda gan kukuita baada ya kupeleka CV na maswali yao yapoje please mi hata wakinikata hyo hela sawa tu si sawa na kukaa home
 
Kwamfano Mimi elimu yangu ni form 6 nkipeleka cv wanaweza kuniita Kwenye interview
 
ilinichukua kama 2 weeks endelea kusubiri huku ukiangalia michakato mingine
 
panda gari linalokwenda mwenge shika moroco airtel chukua bodaboda hadi office zao zilipo ni 1000 tu ukitumia bodaboda.

Jamaniiiii tuliomikoani tunafanyaje kutuma? vipi swali la ndugu hapo juu unawezatuma hata kwa email? vipi tutapataje email yao?
 
Daah kwel ajira ngumu...na unyonyaji walionao erolink lakin bado watu wanakomaa kuomba...kwel dunian hatufanan??
 
Kweli ajira ngumu. Ila km mtu anaweza kukubaliana na masharti ya erolink unafanya 2. Lkn ki ukweli ninkm unawafanyia wao mana mshahara unapitia kwao then ndo kwako.
 
hahaa kila lakhel mdau nenda kapate experience yako maaaana mmmh
 
Kweli ajira ngumu. Ila km mtu anaweza kukubaliana na masharti ya erolink unafanya 2. Lkn ki ukweli ninkm unawafanyia wao mana mshahara unapitia kwao then ndo kwako.

pale unapita tu huku unaangalia michongo mingine kila siku watu wanadrop wengine wanaingia mshikaji wangu aliwahi pita sasahiv yuko serkalini.
 
mundu mkongwe vp ulifanikisha kupata hapo erolink?

Kwny interview wanauliza maswali gani?..naomba nijuze pls
 
Last edited by a moderator:
mnaanza kufanya written ukifaulu unafanya computer siku hiyohiyo ukifaulu utaitwa kufanya written kesho yake unafanya oral majibu yanatoka sikuhiyohiyo na unaanza training sikuhiyohiyo itakuchukua siku 2 tu.
 
Back
Top Bottom